Nandy nauza ndizi utanikuta nimelala pale njiaa ya kwenda soko kuu
2026-02-03 02:58:53
3101
Aiem Tee ❤️🩹🦋🦋 :
nandy ela yake ngumu kutoka apo kajitaidi mbona
2026-02-02 19:59:02
744
Ms Chioma❤️🇹🇿 :
Uyo kaka wapembeni yake lazima amuazime Elfu30😂
2026-02-02 20:03:44
683
Pearl pink :
natafuta rafiki mwaminifu jamani niko serious 😩
2026-02-02 18:34:06
917
Cadbury 🍬 :
mara boss anaingia tiktok anamuona kijana wake😂😂😂😂😂
2026-02-03 07:22:49
460
Beka_lee :
Nimependa ulivyo omba kibali kwanza cha kumpost 🥰
2026-02-02 19:53:00
717
manka julie :
odee mpare kajikaza uyu laki 🤣🤣🤣asee wapare washaanza kubadilikaa
2026-02-03 10:10:10
110
Rawi mnyamwezi :
Kwan msaada lazima upost nandy
2026-02-03 04:28:37
22
J WaMipaNgO :
Nilitegemea uta Chukuaa kbsa uka mtengenezea kesho ya uhakika apo bado huja msaidia ❤️
2026-02-03 03:45:21
127
CAPCUT :
Umenifurahisha ulipomuuliza Kama unaweza kupostii hii video yake 😔😔
2026-02-03 01:22:13
80
cute savana❤️✅ :
jamani valentine nitarehe ngapi
2026-02-02 20:02:35
38
It’s me Marry de DUBAI🇦🇪 :
Naskiya kuliya bure 😔💕na ji uliza kumoyo moyo I hope na mm mungu anibariki nianze pia ku saidia watu 😔💕
2026-02-02 17:31:10
62
Saint Eniii :
Mithali 19:17 (Amhurumiae maskini humkopesha bwana nae bwana atamlipa kwa tendo lake jema)...Mungu akubariki 😥🥰🥰
2026-02-02 18:25:34
107
Mommy suu🤱🧚 :
Nandy umenigusa wallh mwenyezi mungu akupe zaidi ya ulicho toa Nakupenda sana dada angu mzuri🥰🥰🥰😔
2026-02-02 19:50:57
100
irenee💗 :
Safi nandy endelea na moyo uwo uwo dada angu
2026-02-02 20:19:18
26
TABASAMU OASIS :
Ukiona umefika HATUA ya kuona huruma na kusaidia wengine
** Umefanikiwa ( level of success)**
Guys Tanzanians are angels living in the world 🥰🤭
blessings Nandy....
2026-02-03 12:41:45
136
Under17 :
1 Wakorintho 16
14 Mambo yenu yote na yatendeke katika upendo.
2026-02-02 17:31:12
42
TUNTU✅️ :
kumbe unapitaga hapa sinza utankuta kesho nmelala na mimi😢
2026-02-03 12:56:38
220
grace :
ume nifanya ni liye 😭
2026-02-02 20:01:11
26
0686727416 :
Kafanya jambo Zuri lakin sadaka Nzuri niile ya siri sio kupost kama vile mtu anataka sifa
2026-02-03 07:42:58
54
Sammie Dee :
Every family has a person who breaks the chain of poverty … May you be that person 😩🙏🙏
2026-02-04 18:15:58
92
salvy🤍 :
aaaaauw nyie ndo maaana matajir wanabarikiwa kila siku....🥺🥰
2026-02-03 08:22:17
19
lastborn offical:05🔥🚒 :
Tunachezaa na odds 10 tyu 🔥
2026-02-03 11:59:28
6
To see more videos from user @nandytz, please go to the Tikwm
homepage.