@esseromafuru: Familia mpya ya Makamanda. Kundi la 44 la Askari Wapya, Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi (Recruit Training School, RTS Kihangaiko), Bagamoyo, Pwani. Wana wamekula chanja za kutosha, drill za kufa mtu hadi kumpata Mwanajeshi kutoka akili ya kiraia. Kimewaka sana hapo Kihangaiko, na hatimaye Jumamosi, Januari 31, 2026, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali JJ Mkunda akabariki mchakato na sasa ni "Naapa naahidi Mbele za Mungu, Tanzania nitakulinda mpaka Kufa" Salute Soldiers👊🏾👊🏾 NB: Video hii ni sehemu ndogo ya onesho la kufunga mafunzo hayo. #soldier #🇹🇿 #jwtz
Essero
Region: TZ
Tuesday 03 February 2026 09:13:26 GMT
Music
Download
Comments
Development 66 :
daa mungu amewajalia sana
2026-02-03 15:44:01
4
Nicholas Emmanuel :
bless up sana Wana 🪖🫡🫡..♥️
2026-02-03 22:06:28
1
It’s tacy🔐❤️ :
Ndio
2026-02-03 18:36:13
1
Hamisi Kilopo :
oneday yes I believe
2026-02-03 09:37:16
2
tik :
hapo ndo wapo kozi au ndo maisha ya kambini😳
2026-02-03 19:28:22
2
mokoena kimaTTA :
Kun watu wamekosaaa chanc
2026-02-03 15:13:25
1
Queen👸🏼 Baqhis🥰 :
nawapendaaaaa
2026-06-24 05:18:09
0
Marcel khan :
@Young brown familia skiza chenja 😁
2026-02-03 23:04:39
0
kivuyo(wolves fighter)🦊🦊 :
sajini bongo hajawai kuchuja dah! my intake iyoo44
2026-02-03 22:00:34
0
Ms chandy💅🏻 :
TPDF sio?
2026-02-03 23:44:38
0
Jack Yuga Fits✨ :
safi sanaàaaaaaaaaa
2026-02-03 19:11:41
0
Simoo.Alfacksad... :
Mnatuangusha sisi wananchi
2026-02-03 23:36:21
0
It’s tacy🔐❤️ :
Ila Nyie sasa mnatutisha🥺
2026-02-03 17:14:21
2
aqsavery :
ee Mungu niolewe na mwanajeshi
2026-07-05 11:58:41
0
ngowijyoqif :
🔥
2026-02-03 16:14:18
2
Bro iqbal :
🔥🔥🔥
2026-02-03 09:30:48
1
Muchi :
🥰🥰🥰
2026-06-17 13:36:15
0
Warigo Onyango :
👍👍👍
2026-02-03 20:59:34
0
emmanueli mkimey :
🥰🥰🥰
2026-02-03 20:20:19
0
smaiker_tz :
iloo jeshiiii
2026-02-03 22:57:42
0
To see more videos from user @esseromafuru, please go to the Tikwm
homepage.