@r.e.a.ga.n: Hivivunajua Tanzania itakuwa nchi pekee wenye viwanja vitano vitakavyo tumika kwenye mashindano ya AFCON2027 pamoja 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 ..? wakati majirani Kenya🇰🇪 na Uganda🇺🇬 wakiwa na viwanja vitatu vitatu kila mmoja #goviral #afcon2027pamoja🇹🇿🇰🇪🇺🇬 #ticktockkenya🇰🇪🇰🇪 #ticktockuganda🇺🇬 #newstadium
Reagan🇺🇲
Region: TZ
Tuesday 03 February 2026 13:09:48 GMT
Music
Download
Comments
don fook :
amani complex haitotumika kwny afcon
2026-02-03 21:02:17
27
mtumavicki :
ziko Tano lakini akuna Barbara 😂
2026-02-04 05:59:50
34
Godlea :
Dodoma iyo ndoto ishakufa na wenyew washaludishiwa ela yao😂😂😂😂😂
2026-02-03 20:49:19
21
mwasosojr :
alie sikia twenty,twenty seventeen 😂😂😂😂😂
2026-02-03 20:51:04
8
Bilato :
we talk about what you have,,not in papers,,meanwhile,,RAO for final🇰🇪
2026-02-03 20:53:14
7
💘💎dida💎💘 :
umesahau uwanja wa Gombani pemba
2026-02-04 03:46:49
22
Mati Squared :
202017 😂😂😂😂😂
2026-02-04 06:37:18
7
Flag waver🇹🇿 :
Tanzania should host the finals! Atleast Africa nzima inajua it’s the only beautiful stadium in east Africa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-04 09:18:58
9
Agger :
zanzibar arena unafaa uchezewe fainal maana zanzibar inavutia kuliko izo nchi nyengine ulzizitaja apo
2026-02-03 17:47:54
20
Anold 254 :
Kenya ndo wamejenga uwanja Tanzania ujinga mtupu
2026-02-03 22:23:59
13
onlygo87 :
Dodoma stadium
2026-02-04 13:48:25
9
Dida Dubai :
zanzibar kuna vutia sana
2026-02-03 20:57:02
6
Capello 66 :
lakini si munajuwa fainali Ni wapi😅....tunawakaribisha kenya
2026-02-04 13:19:39
14
linusedward4 :
Talanta stadium 🏟️ndiyo fainali inacheswa Nairobi
2026-02-03 17:38:50
6
bayoun matundu :
fainali itakuwa mkapa stadium
2026-02-04 07:34:11
6
car :
zanzibat arena ni unyama
2026-02-03 17:43:39
9
John j :
Kenya
2026-02-04 12:56:22
12
feysalrashid687 :
Dom
2026-02-04 16:50:01
7
afaan_mbappe :
Zanzibar Arena good location beach
2026-02-04 17:03:30
14
dickson madilu :
Benjamin mkapa stadium
2026-02-04 06:39:10
2
Kim08 :
Benjamin mkapa upi mwingine zaid
2026-02-03 20:56:09
2
oskandious254 :
Ati 202017🤣🤣🤣🤣
2026-02-04 08:10:18
2
Gekura :
dodoma stadium 🏟
2026-02-04 08:02:10
2
KING 👑 BOY :
dodoma
2026-02-04 11:25:32
2
Akilimbili44 :
Arusha
2026-02-04 12:35:28
2
To see more videos from user @r.e.a.ga.n, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.