@lotiff_enterprises: Power Tiller HP 16 – Majembe Matatu 🚜 Nguvu ya kweli kwa kilimo cha kisasa! Inafaa kulima mashamba makubwa kwa haraka na ufanisi. Chaguo sahihi kwa mkulima anayetaka matokeo bora. 💰 Bei: 7,500,000 📞 Piga simu: 0762 535 301 📍 Tegeta Nyuki, Dar es Salaam – Tanzania #PowerTiller #FarmMachinery #SmartFarming #AgricultureEquipment #ModernFarming