mi mkristo ila nimefata njia za wazazi wangu lakini nikichunguza naona kama uislamu ndiyo dini ya kweli maana Leo waislamu ndiyo waaminifu alafu waislamu wanavaa nguo za heshima wakiwa kwenye ibada wakristo huvaa nguo fupi adi mapaja huonekana pia biblia ya Sasa watu wanaongeza majibu ambayo yalikosekana kwenye Vitabu vya mwanzo
2026-02-04 08:00:20
267
user2858611045672 :
hakuna kitab cha kweli zaid ya qur, an
2026-02-03 19:09:04
177
MSAMBALA MJUKUU :
duu nikifili dini ni ujinga mtupu
2026-02-03 19:22:27
7
Wa bibi Traveller. :
Allah.
2026-02-03 19:34:04
48
jitu pori :
leo hii nime kukamilishien dini yenu na nimeridhia kuwa uislm ndo din yenu
2026-02-04 05:22:10
44
Mpangala :
imagine huyu mzee naye ana amini anaenda kupata wanawake peponi
2026-02-06 14:34:54
9
mozuh☠️ :
shekh mazinge god bless you wew ni mwamba wa tz
2026-02-05 16:58:32
5
bøñvēñtūrë :
Aamin
2026-02-03 19:05:56
10
Mukisani :
Tafsiri ya Aya aliyosona Sheikh
"Leo nimewakamilishia Dini, na nimetimiza Neema zangu Kwenu, msife msife ila mkiwa Waislam"
2026-02-14 19:32:28
11
o naah :
l love you mohammadi
2026-03-04 07:58:28
1
Shabani ally :
amin🤲🤲
2026-02-04 06:12:54
1
Fakaza :
Amin
2026-02-05 15:30:22
2
Longman :
amin
2026-02-04 06:42:26
2
عبدالرحيم فاضلي :
Alhamdulillah.... shukraan ni zako Wewe ALLAH(s.w)Kwa kunijaalia mimi kuzaliwa ktk familia ya kiislam...hakika sio kwa ujanja wangu isipokuwa ni kudrah zako ww mfalme wa wafalme.... Alhamdulillah
2026-02-06 11:33:39
5
Pima :
Amen
2026-02-04 06:22:41
2
Azizo :
amiin
2026-02-04 16:42:11
1
user15341996361615 :
amin
2026-02-04 19:22:49
1
Hamisi Suramoyo :
Amin
2026-02-28 15:28:53
1
7x USSA :
AMEEN
2026-02-04 16:05:25
4
Cuthbert Mwai.. :
we muongo Sana.. unasema ukiisoma hua unalia.. mbona Leo hujalia
2026-02-26 19:54:39
1
TORRENTO 😎 :
Ameen
2026-02-04 05:09:15
3
Asumani bin abdallah :
Amine
2026-02-04 04:29:40
2
Madizonga Msafiri :
Amen
2026-02-04 04:51:57
2
Khadija Mohammed :
Amiin
2026-02-04 07:23:54
2
ommy Tz :
10/10
2026-02-04 05:02:36
2
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm
homepage.