@moisechomachomacyprien: Namushukuru Mungu aliye niwezesha ku pita live leo kwenye radio ya Congo Goma RSF 90.8 MH Naamini atafanyikisha zaidi ya iyi piya tusisahawu kwenda support YouTube jina ni Moïse chomachoma asante 🙏#tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #RSF90.8 #fypシ゚viral #Goma