Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@khogiadung247: [GIÁ MỞ BÁN] BT-1 Túi Du Lịch
khogiadung247
Open In TikTok:
Region: VN
Wednesday 04 February 2026 00:14:21 GMT
12080
21
1
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
23.38MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
10.18MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
userm2q8o3hp11 :
có miễn Síp ko
2026-03-21 01:09:37
0
To see more videos from user @khogiadung247, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Шансы ?? TG: @plusVIBEEE #plusVIBEEE #cs2 #counterstrike #meme #fyp
😭 #wizkid #wizkidfc🦅 #fyp #viral #trends
Jarvis Sound Iron Man #Javis #Intelligence #marvel #fyp #Vibe #viral #tiktok #ViralVideo #TikTokTrend #InstaFamous #goingviral #ShareThis #Sound
Un día más de muchas oportunidades #bonitodia
MAAMUZI YA KESI YA TUNDU LISSU DHIDI YA ZUIO LA KUONANA NA VIONGOZI WAKE NA MAWAKILI GEREZANI Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi wa Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima mawakili na washauri wa kisheria fursa ya kuzungumza na wateja wao. Aidha, imeelekeza maafisa wa magereza wanaosimamia mazungumzo hayo kukaa umbali unaowawezesha kuona kinachoendelea, lakini wasisikie mazungumzo hayo. Maagizo hayo yametolewa leo, Oktoba 16, 2026, katika kikao cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, kilichoketi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, katika Shauri Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Kulwa Maduhu na wenzake, ambao ni mawakili na washauri wa kisheria wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Wadai hao walilalamikia kuzuiwa kuonana na mteja wao na kwamba, wakati mwingine walipofanikiwa kuonana naye, walikosa usiri wakati wa mazungumzo. Akisoma uamuzi huo, Jaji Amir Mruma, ambaye ni kiongozi wa jopo la majaji watatu waliosikiliza shauri hilo, amesema: “Mamlaka ya Gereza la Ukonga wafuate kanuni kuhakikisha maafisa wa magereza wanaangalia usalama, lakini wawe umbali wa kutosikia.” Pamoja na maagizo mengine yaliyotolewa katika uamuzi huo, Mahakama hiyo imetamka kuwa kitendo cha maafisa wa magereza kusikiliza mazungumzo kati ya Lissu na mawakili wake au washauri wake wa kisheria, Paul Kisabo na Nashon Nkungu, ni uvunjifu wa Kanuni ya 13 ya Uendeshaji wa Magereza. “Tunatamka kuwa Kanuni ya 13 ya Uendeshaji wa Magereza ya mwaka 1968 inataka mashauriano kati ya mfungwa na mshauri au wakili wake yafanyike mahali ambapo maafisa wa magereza wanaweza kuwaona, lakini hawawezi kuwasikia.” Aidha, hukumu hiyo imetamka kuwa kitendo cha kumzuia Wakili Maduhu kuingia katika Gereza la Ukonga Oktoba 28, 2025, licha ya kuonyesha kitambulisho chake cha uwakili, kwa sababu zilizotajwa kuwa hakuwa kwenye orodha ya Lissu aliyoiwasilisha gerezani, hakikuwa sahihi na kwamba sababu hiyo haikutosheleza, kwani akiwa wakili na mshauri wa kisheria, alikuwa na sababu za kutosha za kutaka kuonana na mteja wake. Hata hivyo, pamoja na maamuzi mengine, Mahakama imemwaagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kamishna Jenerali wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga kuhakikisha kuwa mawakili wa Lissu watakapofika gerezani hapo wanaruhusiwa kukutana na kufanya mazungumzo na mashauriano na mteja wao bila kuingiliwa kwa namna yoyote ile.
#hoodie #OOTD #menshoodie #streetwear #fitcheck
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy