@ibraah_food_suplement: Vidonda vya tumbo si ugonjwa wa kubezwa ⚠️ Vikiachwa bila tiba vinaweza kusababisha madhara makubwa kama: • Maumivu makali ya tumbo yanayorudia mara kwa mara • Kutapika damu au kinyesi cheusi • Kupungua uzito na kukosa hamu ya kula • Upungufu wa damu (anemia) • Kuchoka sana na udhaifu wa mwili • Hatari ya kupasuka kwa tumbo (internal bleeding) 👉 Afya ya tumbo ni msingi wa afya ya mwili mzima. Chukua hatua mapema 🫶 #IbraahFoodSupplement #VidondaVyaTumbo #AfyaYaTumbo #MaumivuYaTumbo #tanzania🇹🇿

ibraah_food_suplement🌱
ibraah_food_suplement🌱
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 February 2026 07:32:23 GMT
2168
32
0
13

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ibraah_food_suplement, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About