@selfmadelone3: 1️⃣ HESABU MIONDOKO YA MTOTO KILA SIKU 🤰🏽👶 📌 Kuanzia mwezi wa 7–8, mtoto anatakiwa: ✔️ Kusogea angalau mara 10 ndani ya masaa 12 ⏰ Fanya hivi: • Lala au kaa kimya • Weka mkono tumboni • Hesabu mateke/sogezo 🚨 USIPUUZE: ❌ Mtoto hasogei kama kawaida ❌ Siku nzima unasikia kimya ➡️ Nenda hospitali HARAKA 📌 Miondoko ya mtoto = dalili ya uhai wake #usa #afyayauzazi #wanawake #tanzaniantiktok🇹🇿 #congo