@emes.haircare.lin: Je, unajua unga wa mwarobaini husaidia kupunguza mba na kuwasha kichwa? 🌿 Unga wa mwarobaini 🌿 Hutumika kwa: • kupunguza mba • kuimarisha mizizi ya nywele • kusaidia ngozi yenye muwasho #Mwarobaini #Asili #foryoupage #HairCareAsili #swahilitiktok🇹🇿