@ibraah.supplement: 🫄 Mfumo wa tumbo ukiwa na afya, mwili wote unakuwa sawa! Tumbo ndilo msingi wa mmeng’enyo wa chakula, kinga ya mwili na nguvu za kila siku. Changamoto za tumbo husababisha gesi, kujaa, vidonda, acid reflux na kukosa choo. 👉 Linda mfumo wako wa tumbo kwa lishe bora, maji ya kutosha na huduma sahihi. Tumbo lenye afya = maisha bora. #IbraahFoodSupplement #MfumoWaTumbo #AfyaYaTumbo #Mmengenyo #tanzania🇹🇿