@peresjerome: #INJILI #KWA #KILA #KIUMBE02 #viral walilodai :2:9 ulihitaji maandiko mengine kwanini tunasema Yesu ni Mungu ni fm au andika hapo kwenye comment Section usaidiwe!😊🙌🙌 YUSU_NI_MUNGU •MUNGU BABA_Ameonekana akihusishwa sana kwenye swala la umbaaji wakiwa na MUNGU ROHO MTAKATIFU nafsi ya pili ya Mungu kitabu cha mwanzo:1:1/1:26 •MUNGU MWANA inaonekana kwenye ukombozi wa mwanadamu baada ya anguko MATHAYO:3:16 •MUNGU ROHO MTAKATIFU TUNAISHI NAYE sasa hapa duniani tunaweza kumsikia,anatusemesha anatusaidia mambo yote maana yeye ndiye anayetukamilisha katika utakatifu. Ndo :1:8
Peres Jerome
Region: TZ
Thursday 05 February 2026 09:25:04 GMT
Music
Download
Comments
Mr Kyawa :
ingne 1timotheo 3:16
2026-02-05 19:38:41
8
user2724868887123 :
mbarikiwe wana wamungu
2026-02-06 05:15:32
5
THE GREAT MAGNUS :
Hakika🙏
2026-02-05 10:59:44
3
MALUNGO 🕋 :
magugu yameota shambani
2026-02-06 02:44:24
2
Mtumishi Suzan shitemi :
amen amen
2026-02-09 13:01:56
2
baraka :
uo ni uongo
2026-02-08 16:41:18
1
alidius :
aman ya moyo inakuja
2026-02-06 12:42:03
3
Aston John Carter :
TITO 2:13 - YESU NI MUNGU MKUU
2026-02-05 21:48:30
7
Roida :
YESU NI MUNGU
100%
2026-02-07 09:25:19
3
Favoured Generation :
nakuunga mkono kwakusema Yesu ni emmanuel yani Mungu pamoja nasi
2026-02-13 16:10:30
5
winny :
hongera sana mafundisho mazuri Roho Mtakatifu atufundishe zaidi tumjue vizuri Mungu Baba.
2026-02-06 02:10:47
3
Merry Daniel :
amen amen amen afamuye na afahamuna asikiaye na asikiye maana baba yu ndani ya mwana na mwana ndani ya baba nae ni yeye yule jana leo ata milele
2026-02-06 05:46:24
2
Ngott Jesus :
katika Yey yeeeeeeeeeh
2026-02-05 18:07:56
2
Emanuel start :
Ni kweli kabisa
2026-02-05 18:11:51
2
Daniel daudi :
amen
2026-02-05 20:08:49
2
Tinabo phabian :
amen
2026-02-05 18:46:29
2
user9652153603433 :
Amen amen amen
2026-02-06 08:16:37
2
Debora Clement :
Amen ubarikiwe sana ni kuchambua kifungu na endelea ivyo
2026-02-06 10:24:05
1
nashoni_08 :
Many people don't like the truth.
2026-02-06 09:58:51
1
stopper for all :
una ubongo wa panzi
2026-02-06 07:27:49
4
John Msenga :
AMEEN
2026-02-05 18:11:07
4
catelina💝 :
Asante sana kwa ujumbe wako utanisaidia
2026-02-06 06:41:28
2
deusi martini :
mbarkiwe
2026-02-05 14:13:22
2
Janvierlupopo :
Amen✋️Sifa kwa Yesu Kristo Mungu mkuu🤲
2026-02-05 19:20:49
2
To see more videos from user @peresjerome, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.