@luverra.co: I choose not to gate keep! Kama unajiuliza ni nini siri ya nywele zangu kufikia hapo? Ni jibu moja tu. "MIELLE ROSEMARY &MINT HAIR OIL" Kama unataka kukuza nywele, kama unataka kuwa na nywele za kujaa, kama unataka kuwa na smooth hair, kama unataka kujaza mikia ya nywele this oil is the only thing you need! Available in our store 🤍 We will also guide you on how to use it so you can get the maximum benefits✨ Karibuni🤍 #luvérrabeautyco #fyp #tanzaniatiktok #haircare #mielle