@nuktatanzania: Mbunge wa Viti Maalum, Nassirya Alia leo Februari 05, 2026, ameibua hoja bungeni kuhusu ufinyu wa wahudumu wa afya wenye uwezo wa kutafsiri lugha ya alama, hali inayowakwamisha watu wenye ulemavu wa kusikia kupata huduma bora za afya. Akichangia hoja ya hotuba ya mipango amesema changamoto hiyo inapelekea kutokuwepo kwa usiri wa kutosha kati ya mgonjwa na mhudumu wa afya, kwani wagonjwa hulazimika kutumia watu wa pembeni kama wakalimani, jambo linalokiuka haki yao ya faragha na usiri wa taarifa za kiafya. Ameisisitiza Serikali kuchukua hatua za makusudi kuongeza wahudumu wa afya wenye ujuzi wa lugha ya alama ili kuhakikisha watu wenye ulemavu wa kusikia wanapata huduma za afya kwa usawa, heshima na kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya afya.

NuktaTanzania
NuktaTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 February 2026 17:11:39 GMT
78499
1693
92
78

Music

Download

Comments

hantaali
Albajun :
ama kweli mungu hakupi kilema akakunyima mwendo mashallah hoja zake zina mashiko
2026-02-06 06:20:40
37
linnerphillip
Africa beauty 🌹💕 :
yeah mtafsiri hata akidanganya huwez bisha
2026-02-06 10:14:34
17
kalilatz
Kalila :
Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye diversity Mungu isimamie nchi yetu nzuri🇹🇿
2026-02-06 08:37:11
11
bobnyankaniofficial
Bob nyankani :
amezid mbunge wetu wa RORYA Jafari CHEGE
2026-02-06 06:24:10
11
magazine.logisticsltd
magazine Logistics ltd :
aliombaje kura??
2026-02-06 08:45:47
2
meneja80
meneja :
kumbe hii ni lugha kama lugha zingne ni vema serikal ikafundisha watu wote ili tuelewana 🙏
2026-02-06 12:03:45
9
user60784867333731
Fatuma juma :
napenda anavyo Fanya japo celewi 💙
2026-02-06 12:45:54
2
dorice.samwel
Dorice Samwel :
umetuwakilisha vyema
2026-02-06 02:34:16
3
valentinemteki171
Valentine✈️ :
huu ndio uwakilishi wa makundi maalumu
2026-02-05 22:04:59
5
____e.m.m.a__
BUNAZI FINEST :
huyu mbunge nimempenda sana♥️♥️
2026-02-06 10:22:57
3
amosmwashambo717
Amos Mwashambo :
hizi ndio point Sasa mbunge unatakiwa kuwasilisha hivi💪
2026-02-05 20:18:46
5
bety.chamame
Bety Chamame :
Mungu wetu sote na serikali ni yetu wote
2026-02-06 01:34:20
2
abuu_19
Abuu Reelan :
yaani anapoint kuliko hao wenye uwezo kusema
2026-02-06 08:22:28
2
said.bakarmwenezi
SAID BAKAR,MWENEZI :
wakalimani kama hawa ndio tunawahitaji
2026-02-06 02:55:32
4
mr.optimisticc
Optimistic :
ameongea point sana
2026-02-05 20:49:22
2
laila.chum
Laila Chum :
allah Akbar mashaallah good point
2026-02-06 11:58:34
2
user8519212628466
Agrovet kisese :
mungu akutunze dada angu kwani hoja zako ni nzr sana kwa hakika umewakilisha vyema watu wenye ulemavu mungu akutunze🙏
2026-02-06 13:40:38
2
businesscenter.tz
Man of Business𓃵 :
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳
2026-02-05 18:08:31
2
zainab.fadhil24
Zainab Fadhil :
hongera sana sauti imesikika
2026-02-06 01:15:55
2
henam68
Henam_Cosmetics :
huyu mshahara wake wangawana na mkalliman
2026-02-06 15:28:37
3
dssm48
0782838861 :
Nimependa 🥰
2026-02-06 15:27:18
1
user634615301931
ntundu jr official :
ila kusifia kupo pale pale
2026-02-06 17:23:03
1
user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Huyu mama mpeni mkuu wa mkoa nmempenda sana
2026-02-06 16:01:59
1
theresiakiponda
Teddyk :
neema imetajwa bungeni leo
2026-02-06 15:49:06
1
shabanisingano55
iweninahuruma@tzluka6:36 :
Mh. mbunge kanifanya nipende lugha ya alama ♥️♥️♥️
2026-02-06 10:47:47
1
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About