@ghazal.tv1: MALIPO YA UBAYA ALLAH HAYACHELEWI — HULIPWA HAPA HAPA KABLA YA AKHERA. Usidhani ukimdhulumu mtu utapita salama. Allah ni Mwingi wa Haki, huacha kamba ivutike lakini haikatiki. Leo unaweza kucheka, kesho machozi yakawa chakula chako. 👉 Chunga matendo yako, chunga ulimi wako, chunga haki za watu. 📿 Sheikh Hamza Mansoor anatukumbusha ukweli mchungu lakini wa kuokoa nafsi: Usimdhulumu mtu, kwa sababu dua ya aliyedhulumiwa haina pazia mbele ya Allah. Tazama, sikiliza, tafakari na jirekebishe kabla haijawa kuchelewa. #Hashtags: #SheikhHamzaMansoor #MalipoYaUbaya #HakiYaAllah
GHAZAL ONLINE TV
Region: TZ
Thursday 05 February 2026 21:31:48 GMT
Music
Download
Comments
Fancy :
Wallah mm ndugu tu amenidhulum😭😭😭😭Allahuma Amiin🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-02-06 16:51:02
7
Anne Nzilani61 :
nimeteswa kwenye ndoa hadi nimejiona sina thamani tena Ya Allah Ya Rabbi 🤲 nilipie mimi mja wako nimechoka sio raha tena ya ndoa nimeachwa nikiteseka
2026-02-08 19:18:29
18
Dramatic Dynamic :
kama tudin tudan
2026-02-06 08:21:13
14
Gulnar :
huyu shekhe anaitwa nani?🥰🥰🥰🥰
2026-02-27 18:56:02
5
MAYA COLLECTION 🛍 :
Amin Amin namin Yaraby utanilipia wale walio niulia mtoto wangu Naumia sana moyo wangu sijawahi kupona ...💔💔😭😭
2026-02-08 19:26:29
8
Muny babe🌹 :
wallah ntmn mungu anilipie tuhh 🥹🥹😭
husda uongo unafki 😭😭😭😭
2026-02-07 04:16:05
13
My____amor :
Mtu anakuzushia uongo ili tu yy awe mwema jaman Allah Yupo atalipa
2026-02-09 08:24:24
8
mama hilmi💞 :
😭😭😭😭😭😭 mbona haya yote jaman sioni mwelekeo wowote wa kulipwa kwa anaenifanyia😭😭😭😭 nimechoka wallah hadi nahisi sina thaman na hii dunia😒
2026-02-07 19:31:39
2
unique qal🌹🍏💎🇹🇿 :
Allah atupe kaul thabit na subra kwa yote tunayotendewa na tunayotenda inshaallah na atusamehe sisi pamoja na ummah wa Muhammad s.a.w
2026-02-08 19:39:46
12
Asia :
sawa sawa hapa hapa akhera ni kuadhibiwa
2026-03-28 16:23:46
2
user56857216509578 tausij :
yarabi tupe sbra tulio umizwa kwenye.ndowa
2026-02-26 16:05:32
3
subuhanala mungu atujaliye mwisho mwema amiin inshallah 🙏 ❤️
2026-04-03 23:51:21
1
user91180690675 :
Ameen 😥😥😥
2026-02-07 04:02:36
4
Naima Jaffar :
Ameen 😭😭😭😭😭
2026-02-06 07:04:09
3
salmah :
mimi kama yatima maneno ya hii famili.mungu wangu.mume wangu kuniambiya nina.lipi.mungu mulipe mume wangu hapa hapa.
2026-04-20 01:08:52
0
🦋 it’s fatma 🦋 :
kwa kweli
2026-04-16 05:33:29
1
Learned amour mo. :
Ya Allah🤲
2026-05-03 19:30:40
1
Bushil Yasin :
mungu akupe wepesi na maisha mema na mwisho mwema
2026-04-10 18:54:41
1
saidi a nyaonge :
ndio
2026-02-06 16:21:02
2
zungu :
allh
2026-02-25 19:54:16
1
yussuf :
Ameen ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-02-07 04:16:50
1
tatu issa :
mungu nipe mwisho mwema
2026-04-02 17:26:15
1
shawalreel6 :
insha'Allah watalipia
2026-02-13 11:01:38
2
No Name- :
god forgive me 😭😭😭😭
2026-02-28 22:12:54
1
WOLFQUEEN🐺👑✨✅ :
🥺Subhannallah Wal Alhamdullillah 😭🙏
2026-03-30 23:21:54
1
To see more videos from user @ghazal.tv1, please go to the Tikwm
homepage.