@halimajumanne45:

Halimaty juma
Halimaty juma
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 February 2026 08:51:45 GMT
673064
22537
710
287

Music

Download

Comments

user10049853253124
meggy :
hongereni nyie ambao mnao wa kuwapokea, sisi wengine tunapokelewa na udongo
2026-02-06 16:17:26
174
kalthoom09
UMMY ❤️🫰🏿 :
Vile mama anakuwah anasem vip mwanang wamemroga kumbe mtt Ana furaha kurud salam na kuwakuta wazima wote mung tujalie na sisi turud salama and Asante kwa kunipigia serekasi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌❤️❤️❤️
2026-02-06 10:13:48
160
mamy.ayfan1
mamy azzady 🇹🇿🇴🇲 :
2026-02-06 16:39:21
17
stamphord2
Justin stamphord :
huyu kam sarakasi anawez bc kukunyonga usiku hashindw
2026-02-06 18:20:50
51
madam.g934
madam G🇱🇷🇹🇿 wa BERITHE :
jmn huyu kasahau kupitia akili zake airport
2026-02-06 13:53:08
35
bintisapampa0
binti sapampa ❤️‍🩹❤️‍🩹💫💥 :
Hadi raha
2026-02-06 15:00:52
5
ksnsabari
shukrani 912🇴🇲 🇹🇿 :
🤣🤣🤣
2026-02-06 13:24:21
6
mrsssquare
ukhity sau :
😂😂😂😂Mama wanacheza Na mikon tyu 😅 ila nyumbn raha bhn nyie duh
2026-02-06 16:16:36
12
nyambuboy
nyambulapi@2511 :
miuno mwishoo
2026-02-06 23:54:32
1
user2934822783399
💅 :
msalimie mama but nyumbn ni nyumban nimependa ulivo hufekii☺️
2026-03-28 09:02:31
6
msonyatz
msonyatz :
mwanamke anapiga sarakasi ivii apan
2026-02-06 17:24:28
7
anethwatonga
anethwatonga :
ongera dada unalud kijini unamkuta mama mzazi yup hai, mm napokelewa na makabuli dd😭
2026-02-09 09:27:09
10
shani.ernest
Shani Ernest :
hahahaaaaa
2026-04-20 14:14:42
0
jaff70626
official jaff 🇹🇿🌹🇴🇲♥️ :
mashallah kipenz changu nafurah mie sasa 🥰 yaraab tujalie term strong turud salama ichin kwetu amina 🙏
2026-02-07 03:52:32
6
jya1an1
J@ylan :
Mama angejua ulichokua unafanywa na wanaume wa Dar….
2026-02-11 11:30:23
17
mwajumaomary166
Mwajuma Omary :
🤣🤣🤣hebu mkumbatie mama huko😂😂🥰
2026-02-07 09:45:37
1
ummykhalfan676
monira :
hadi raha
2026-02-06 09:40:07
1
user80103382499268
My zuchu 80103382499262222 :
hongera udugu
2026-04-06 19:00:51
0
user5981131493690
user5981131493690 :
duuuh 😂😂
2026-02-06 10:18:51
2
kundo_hq
KUNDOWERA HQ 🦀🦀 :
faraja ya mzazi ni kumuona mwanae anafurahi nimependa sana
2026-02-07 05:41:22
1
zainabmohamed9717
Zainabkijonga :
Bwanga limekaa malaa pake adilaaa🥰🥰
2026-02-07 08:59:10
1
ntajioa
truelove💓 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣unanitamanisha jmn
2026-02-06 14:54:31
2
reginacosmetics1
Reginah cosmetics💫 :
2026-02-06 18:36:11
4
manyaxtz
manyax :
2026-02-06 22:50:36
2
rahimafaraji67
Rahima faraji :
moro iyo
2026-02-25 15:32:23
0
To see more videos from user @halimajumanne45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About