@juice_asilia: Chungwa • Karoti • Passion | Juice ya Asili Mchanganyiko huu unasaidia: • Kuimarisha kinga ya mwili kupitia Vitamin C • Kuboresha afya ya macho na ngozi (Beta-carotene) • Kutoa antioxidants zinazosaidia kuongeza nguvu na afya ya mwili kwa ujumla. Imeandaliwa bila sukari kwa ajili ya kupata ladha yake asilia. 👉 Fuata ukurasa huu kwa elimu zaidi na kupata recipes kama hii. 👉 Like & share ili kuwasaidia wengine kuchagua maisha yenye afya bora wakati wote. #fyppppppppppppppppppppppp #carrotjuice #foryou #foryoupage #fypシ