@doktaone_: Umewahi Kukutana na Hali Hiii? #doktaone #doktaone #afyabora

DoktaOne
DoktaOne
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 February 2026 20:36:19 GMT
160224
2624
89
146

Music

Download

Comments

secret200517
hi, it's me :
najuaga narogwa 😂😂😂
2026-02-08 11:32:40
21
mwanaamir807
Mwana Amir :
me hutokea kama nateleza nastuka najua nachukuliwa n wachaw cjui wananirudish kwakunitupia kumbe n mambo y kisomi nyieeeee🤣
2026-02-08 21:06:53
17
merry.george03
Merry George :
Yani mimi ndo kila siku 😩😩😩😩
2026-03-11 22:51:44
9
yaan957
001#mombasa :
najua mizim ya mababu imenitembelea
2026-02-18 20:42:00
5
tellahvivah
🎀Tellah vivah🎀 :
mimi pia mara kibao kila siku yn
2026-02-12 23:15:00
4
amina53485
chimamy 🤪 :
ndio maranjingi sana inanikuta hii hali
2026-02-17 19:00:30
2
mis.johyna
mis. johyna 🦋 :
nimewahi mara nyingi sana nikaenda hospital wakaniambia niwe nakunywa maji ya kutosha na kupumzika vya kutosha😑
2026-02-06 22:53:06
5
abisaiplusdeer9qssort197
abisai tz visibilite✅ :
.asante kwama funzo
2026-02-19 21:39:20
1
mariamally995
Mariam Ally :
Mimi Mamangu alikuwa ananambia nachukuliwa na wachawi yaan mimi ni ndege ya wachawi😂😂😂😂😂
2026-02-10 21:19:10
1
vivianmatandu
memeh🌹♏️💫🌹 :
sanaa
2026-02-08 17:32:24
1
goldenchica7
Goldenchica :
kumbe nishajaribu kufa mara nyingi woi 😂
2026-02-08 08:15:17
2
ramadjuma188
Moussa djuma :
Hii background sound music inaitwa je ?🙏
2026-03-19 19:17:42
1
johnsimon698kiangu
🅰🅱🅳🆄🅻🅸💀😈 seaman :
mi ndo kila siku
2026-03-16 19:43:38
0
user5598107925613
user5598107925613 :
ndio hii hali inanikutaga mala nyingi
2026-02-20 05:51:09
1
divajames..21
DIVA..❣️🦋 :
Hii inatokea sana ukilala unaangalia juu😂😂😂
2026-03-19 09:23:37
0
yussuf50
yussuf :
tyar
2026-02-06 22:29:33
2
lightheaven15
@Řeal Heaveñ...🤍🖤 :
duuuuh!
2026-03-13 12:08:57
1
gnashy7
Gnashy❤️ :
Me nkajua majinamizi jmn😅😂
2026-03-18 07:18:46
1
glory4146
glory :
mara nyingi sana
2026-05-01 10:14:40
0
sakina20047
Sakiss :
inanifi'ia sana,Ila kama Sikupata muda wa kulala mchana
2026-03-19 10:56:35
0
henrymutabanzi
utilisateur anonyme :
ndiyo
2026-04-01 20:21:39
0
ester.kinabo3
Ester Kinabo :
huwa hat mimi inanitokea
2026-04-01 05:54:23
0
glowreenah
glowreenah :
duh kumbe ckuwahi kujua ni kwanini asante
2026-04-01 20:53:09
0
khamiisramadhan
ba abdul :
duh
2026-03-22 06:46:22
0
To see more videos from user @doktaone_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About