@rafiki_designs_tz: 😂😂😂😂🦺😂😂🤦🏿♂️ KARIBU @rafiki_designs_tz @rafiki_designs_tz @rafiki_designs_tz TUNAJIHUSISHA NA FINISHING ZA NYUMBA NJE NA NDANI. GYPSUM BOARD DESIGNER SKIMMING SKATING MOULDING RANGI AINA ZOTE USHAURI NI BUREEE Fanya Nyumba Yako Kuwa Ya kisasa Kwa Design Nzuri Na Za Kisasa Pamoja Na Finishing Za Rangi , Nyumba Yako Mwonekano Mpya. TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFIKA KWA GARAMA NAFUU SANA Tupigie WhatsApp/ Call 0718117861 INTERIOR STORY,EXTERIOR CHARM
rafiki_designs_tz
Region: TZ
Sunday 08 February 2026 05:50:05 GMT
Music
Download
Comments
waukae :
mko wapi mnipakie rangi mkifika hiyo hatua mniburuze mwenyewe 🤣🤣
2026-02-28 12:51:41
635
Salim Og Boss MtotoT :
Leo kuna mahali nimepita watoto wakanisalimia et shikamo mchawii🥺dahh roho imeniuma sana
2026-03-01 09:37:29
82
Eben Macha :
nilichogundua watu wazima wamemiss utoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu hoiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-03-01 05:45:24
236
mzigua og :
Njoen kwangu lakin ikifika hapo nitawasaidia mniburuze😂
2026-02-28 16:10:17
55
Ssix_8 :
who is supposed to be payed more here... the painter or the helper
2026-03-01 16:58:09
9
Official Carlie❤️🫦🇿🇦 :
Vijana kumbe ndio mnapamban hiv kutafuta hela😂😂
2026-03-01 06:14:22
14
Naah :
kama ndo kuendeshwa hivo nifundisheni namimi
2026-02-28 19:52:10
41
Nadhira Na :
mbn kama anapata raha😂😂😂😂
2026-02-08 12:56:20
14
Mekant Used Items✅ :
Mko wapi niwakwepe😁
2026-02-08 09:28:40
6
Dorin mnywiga :
kumbe bado mnacheza huu mchezo kueni ,basi nyi wanaume😂😂😂
2026-02-08 15:33:48
5
nanay :
ukipenda kazi yako ni raha sana
2026-03-01 10:02:17
6
mwaduda :
hivi nyie si wakubwa lakin 😂😂😂 kwahy mnataka kuburuzwa
2026-03-01 03:02:28
12
maletsatsiphali :
You guy makes it look so easy 🤭
2026-07-04 21:33:40
1
miss rey🥰🤗 :
hapo boss anaringa kuwalipa baada ya kuona mnakaribia kumaliza kaz 😂😂😂
2026-03-01 11:28:01
14
Muna Omar :
Ukisikia kazini kwangu Kuna kazi ndio hii sasa😁😁
2026-03-01 08:48:50
7
NeemaGilmario :
shuka zam yangu 😂😂😂
2026-02-28 18:32:14
7
sumaiyya :
😂mumewaza jambo zuri la ubunifu hili litaboreshwa kutakua na vigari vya kuwaendesha kwa kazi hio
2026-03-01 08:21:03
5
Cossy Mark :
teknolojia🤣🤣🤣
2026-03-01 04:44:43
6
Alick MWAIPUNGU :
sema apo kwenye iyo atua mtanipunguzia bei mana mnapata na Raha ya kuvutana ndani kwangu
2026-07-16 10:14:58
2
FROLAH 🌹🍭🍫 :
30nalipa 😁
2026-03-01 08:40:48
0
irah mom outfit :
5/5
2026-03-01 09:30:41
1
mammy 💫🔥🔥 :
wale 30/30
2026-03-01 16:40:12
0
helle🖤 :
10/10
2026-03-01 08:39:35
2
Chuga BreAm4tInG🤍💫 :
30 Nalipa
2026-03-01 14:58:02
0
MUCHE. WA. MALiNDi 🇰🇪🇰🇪 :
wale 30/30
2026-03-01 08:33:51
0
To see more videos from user @rafiki_designs_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.