Ni Mama au Mamaa (as in your woman au your mother??) mnatuchangaya
2026-02-20 09:22:22
53
Son27 :
The worst thing to do as man ni kulilia mwanamke, ukishaelewa michezo utajua u can’t save a woman, n hakuna mwanamke anaempenda mwanaume zaid ya wanapenda how we make them feel good kwa kutumia resources zako..
2026-02-16 09:16:58
69
Shaky mumy@1921 :
mnaruhusiwa kulia ila hakikisha asijue mtu tafuta sehem jifiche punguza yamoyoni😂
2026-02-20 05:45:50
41
HARMONY :
Rest in paradise my dear mama.🙏🕊
2026-02-20 20:15:31
9
The traveller :
mi naliaga kaka japo ni udhaifu mkubwa Kwa watu ila ni faida kwako binafsi inatoa sana sumu na machungu
2026-02-14 14:23:29
34
mahatman5 :
missed you mum🥰..keep resting in peace..missed you so much😭😭
2026-02-18 15:43:02
7
Mrs~HamisBensa❤️🌹💞 :
Ikiuma lia hakunaga replacement ya mama dunain lia tu mm huu msiba sijui lin utaisha nalia kila sik😭
2026-02-20 20:20:43
4
Victone Music🎙️🎚️ :
Nalipa 10/10
2026-02-20 06:21:02
1
lah_katuju :
IMAGINE ,
unapambana maisha kuna muda una hela hadi za dharura unasema natakiwa kum spoil mtu .. AFU UNAKUMBUKA KUMBE SINA WAZAZI WAMEACHA KUPUMUA MUDA MREFU DAH 😔😟
2026-02-21 04:18:49
3
Emirates_furnituretz :
Lia tu baba😩
2026-02-09 22:44:55
2
Bro l can’t relate :
as a man tunapitia vingi mno maybe we can heal kwa kulia
2026-02-15 15:21:41
0
am_Neylee❤️🔐 :
Nani aliyesema wanaume vibaya kulia ebu lia bana release achia vyote kwa kulia
2026-02-12 06:06:49
8
Emilycruzy :
Polee mwayaa kama hajaolewa mtafute
2026-02-09 15:50:58
2
shoni :
kabisa kulia,ni mwiko kwa mwanaume ni udhaifu😳😳😳😳
2026-02-11 16:48:18
1
Marcia :
Aiseeeeeee heartbroken miss you so much mama 🥹
2026-02-20 07:54:53
3
Mr.Professional :
q chillah aliua sana humu . ✌✌✌✌. Lia tu mzee. ila hata Mbu asione chozi lako
2026-02-11 18:48:51
3
Taylor_gibson👑 :
umejichanganya...
2026-02-23 07:37:43
0
hellen mmbago🥰 :
Lia tu kak angu 🤣🤣🤣🤣
2026-02-20 19:19:25
0
Francis :
Kwa mama achana nionekane mwanamke tu… talia sanaaaaa