@funny_edits289: #BalliBotMogis #TrendingReels #FYP #ViralTikTok #MillionViews #TrendingReels #Foryoupage #FYP #RobotVibes #innovation #TechMagic #SmartBot #AlTrend

Funny_Edits
Funny_Edits
Open In TikTok:
Region: US
Monday 09 February 2026 03:36:43 GMT
2931477
30992
825
18020

Music

Download

Comments

nidasidhu2
Nidu :
Bohat Serious thi Achanak Ye Video Samny a agaye😂😂😂😂
2026-02-23 08:28:31
66
im_not_ur_typ3
✰𐙚˚🫧 :
bahi online dard mehsos ho raha hai 😭🙂
2026-02-26 10:29:41
7
paisita12122
Yuri londoño :
así de de malas estoy yo en el amor 🤣🤣
2026-02-17 01:08:10
5
damyero
Touré :
mais pourquoi j'ai sauté plusieurs fois comça 😂
2026-02-13 09:15:38
66
abdullah.anas.mom
Abdullah Anas Mom🥰🥰 :
ও কি আৱ বেচে আছে😂😂😂
2026-02-17 06:16:36
8
toyibity
𝑡𝑜𝑦𝑖𝑏𝑖𝑡𝑦 👸 :
የላቹህምሳ😂😂😂
2026-02-17 05:01:27
5
mahide7787
মায়াবতী 🫰🫰 :
বিপদ যখন আসে সব দিক দিয়েই আসে 😅😅
2026-02-15 11:28:56
50
user3768322703086
😭কষ্টের জীবন 😭 :
এটা আমার জীবনের কাহিনি,
2026-02-17 12:22:30
6
tanjinaofficial4
Tanjina sultana priya :
দুঃখের কথা আর কি কমু এই ঘটনাগুলো আমার সাথেও ঘটে 😂😂
2026-02-17 13:50:12
56
mzzdhibley8
isma dhiba in c/rshid👸 :
Somalidi waan kasoodhuuntay
2026-02-14 10:11:24
13
hadiamolelsow
user1995977870212 :
journée sans chance
2026-02-14 16:29:18
7
qowdhan30
YaRkA CaSiMaDa🐎🤍🔥 :
somalidi waan kasoo dhuuntay
2026-02-17 11:31:41
8
betimearey
it's me❤❤❤ :
ሁሉም ነገርሲጠምብህ🥺😫
2026-02-17 06:57:30
7
divineeee_4
~ 💗 :
Des fois mm tu va penser que c’est malédictions 😭
2026-02-13 22:36:15
22
cawil.laba
cawed :
somaaliy meesha malaga ogolyhy
2026-02-17 05:59:01
5
habibseid627
يوتي🌹 :
ኧረይ 🤣🤣🤣🤣🤣 ዲህነትም ዲህነትሲፈጥር🤣🤔🤔🤣🤣🤣
2026-02-14 21:20:46
8
user6397118804455
teddybear❤ :
kwahyo mswahili ndo peke yangu saw bhana😅😅😅😅😅
2026-02-17 15:17:24
8
faten.lebad
Faten Lebad :
هو مفيش حد عربي هنا 🤭😳
2026-02-17 22:04:04
49
bekiman218
❤forever :
99 problems
2026-02-17 13:54:49
7
nyamigori2540
Mish Mish (Nyamigori) :
Am anoiyed as if I'll be cleaning that place😳😂😂😂
2026-02-13 18:38:05
11
ami21yh
Ami Kabaw :
የኔ የዘንድሮ ኑሮ😭😭😭😭
2026-02-17 13:51:00
10
usett315
هناء🌸 :
2026-02-14 13:47:24
9
iammissprittiest12
miss prettiest 💞 :
my situation right now it's like there is nothing I can do to come out of it 🙌🥹
2026-07-02 17:14:08
0
amikarpdladko
Amikar :
haha😁😁
2026-02-23 10:28:08
4
kungfugal
✝️𝙉𝙞𝙣𝙟𝙖𝘾𝙚𝙘𝙚𝙡𝙞𝙖✝️ :
2026-02-28 07:47:10
1
To see more videos from user @funny_edits289, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

𝗛𝗶𝘇𝗶 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝘀𝗶𝗿𝗶 𝘁𝗮𝗻𝗼 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝘀𝗶𝗻𝗱𝗮𝗻𝗼 𝘆𝗮 𝘂𝘇𝗮𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗽𝗮𝗻𝗴𝗼 (𝗗𝗲𝗽𝗼) ambazo Watanzania wengi hawaambiwi :  1. 𝗛𝗲𝗱𝗵𝗶 𝗞𝘂𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮 𝗦𝗶𝘆𝗼 𝗞𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮
𝗛𝗶𝘇𝗶 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝘀𝗶𝗿𝗶 𝘁𝗮𝗻𝗼 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝘀𝗶𝗻𝗱𝗮𝗻𝗼 𝘆𝗮 𝘂𝘇𝗮𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗽𝗮𝗻𝗴𝗼 (𝗗𝗲𝗽𝗼) ambazo Watanzania wengi hawaambiwi : 1. 𝗛𝗲𝗱𝗵𝗶 𝗞𝘂𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮 𝗦𝗶𝘆𝗼 𝗞𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 "𝗗𝗮𝗺𝘂 𝗜𝗻 𝗷𝗮𝗮 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗼𝗻" Wanawake wengi wakikaa miezi sita bila kuona hedhi, wanaanza kuweweseka wakiamini damu chafu inajirundika tumboni au itawapa kansa. Ukweli ni kwamba, ile homoni ya sindano inalaza mifuko yako ya mayai isizalishe kabisa. Hakuna damu inayotengenezwa, kwa hiyo hakuna kinachobaki ndani. Siyo ugonjwa, ni dawa imezima mfumo kwa muda 2. "𝗨𝗸𝗮𝘂𝘀𝗵𝗮𝗷𝗶" 𝘄𝗮 𝗛𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗻𝗮 𝗨𝗸𝗮𝘃𝘂 𝗨𝗸𝗲𝗻𝗶 Hili ndilo bomu linalovunja ndoa nyingi kimya kimya. Daktari atakwambia "haitajiingiza kwenye mambo yenu ya chumbani". Lakini ukweli ambao wanawake wanagundua wenyewe ni kwamba, ile sindano inashusha kabisa hamu ya kukutana na mume wako (𝗹𝗼𝘄 𝗹𝗶𝗯𝗶𝗱𝗼). Zaidi ya hapo, inakausha kabisa ule uteute wa asili wa uzazi. Matokeo yake, tendo linakuwa la maumivu kama unachofolewa na msasa, na hapo ndipo ugomvi na waume unapoanza kwa kuhisiwa unaleta dharau au una mchepuko. 3. 𝗠𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗛𝗮𝗶𝘀𝗵𝗶𝗸𝗶 𝗦𝗶𝗸𝘂 Unayoacha Sindano 𝗨𝗸𝗶𝗮𝗺𝘂𝗮 kuacha sindano leo kwa sababu unataka mtoto, daktari anaweza asikwambie kuwa safari ya kurudi kwenye uzazi ni ndefu. Wanawake wengi wanadhani miezi mitatu ikiisha tu, mwezi wa nne mimba inaingia. Ukweli ni kwamba, sindano ya Depo ina tabia ya "kuganda" mwilini. Inaweza kukuchukua miezi 10, hadi miaka miwili kamili ili ile homoni iishe kabisa mwilini na mayai yaanze kupevuka tena. Wengi wanakimbilia kwa waganga au maombi wakidhani wamekuwa wagumba, kumbe ni athari ya sindano inayochelewa kuondoka. 4. 𝗛𝗮𝘀𝗶𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗚𝗵𝗮𝗳𝗹𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝘂𝗹𝗶𝗮 𝗕𝗶𝗹𝗮 𝘚𝘢𝘣𝘢𝘣𝘶 (Mood Swings) Unajikuta asubuhi umeamka una hasira na kila mtu, watoto wakipiga kelele kidogo unatamani uwatandike, au unajifungia ndani unalia mumeo akikujibu vibaya kidogo. Unahisi labda una mikosi . 𝘏𝘢𝘱𝘢𝘯𝘢! Sindano hii inavuruga mfumo wa kemikali za ubongo zinazoendesha hisia zako (mood swings/depression). 𝗨𝗻𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗺𝘁𝘂 𝗺𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 hasira za mimba kila siku, jambo ambalo hukumuona daktari akiliandika kwenye kadi yako ya klinki. 5. 𝗨𝗻𝗲𝗻𝗲 𝘄𝗮 𝗚𝗵𝗮𝗳𝗹𝗮 𝗻𝗮 𝗠𝗶𝗳𝘂𝗽𝗮 𝗞𝘂𝗹𝗮𝗶𝗻𝗶𝗸𝗮 Sindano hii inabadilisha namna mwili wako unavyohifadhi chakula na kuongeza hamu ya kula. Ndiyo maana wanawake wengi wanene wakianza kutumia, wanatanuka ghafla hadi nguo hazitoshi. Lakini kibaya zaidi ambacho hakisemwi mara nyingi, ukitumia hii sindano mfululizo kwa zaidi ya miaka miwili, inaanza kunyonya madini ya calcium kwenye mifupa yako (bone mineral density loss). Unaanza kusikia nyonga zinauma, mgongo unauma, na unachoka mapema. Mwili wako ni wa kipekee na unaongea, dada yangu. Kama unahisi hizi dalili zimeshaanza kukutesa, nambie... 𝘄𝗲 𝘂𝗻𝗮𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗶𝗽𝗶 𝗵𝗮𝗽𝗮.𝗸𝗮𝘁𝗶.𝘆𝗮 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝗸𝗮𝗺𝗮.𝘂𝗺𝗲𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗻𝗱𝗮𝗻𝗼.. 𝗸𝗮𝗺𝗮.𝗻𝗺𝗲 𝗲𝗹𝗲𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗰𝗼𝗺𝗺𝗲𝗻𝘁." 𝗡𝗶𝗺𝗲.𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 ". 𝗞𝗔𝗺𝗮.𝘂𝗻𝗮.𝘀𝘄𝗮𝗹𝗶.𝘂𝗹𝗶𝘇𝗮 .. 𝗞𝘄𝗮.𝘂𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗻𝗶𝘁𝘂𝗺𝗶𝗲 𝘂𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗔𝗽𝗽.. 0695454869 Follow like na share page hii Kwa wanawake wengine wajifunze zaidi #followmeonfacebook #followerseveryone #highlightsシ゚ #highlonesomesound #highlightseveryone

About