@esterminmarket:

Ester Min market🦋
Ester Min market🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 February 2026 16:32:54 GMT
371735
9836
287
1076

Music

Download

Comments

ekaro_mane
Ekaro Ramadhan :
kama hapo ni m ngapi? mtaji tu
2026-02-10 10:32:15
0
woisso_
woisso :
mimi nkiwa na duka kama hili mteja akija simuuzii ataniharibia mpangilio😂
2026-02-11 04:58:53
25
ceama2020
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
imekugharimu bei gani nahitaji kufanya biashara lkn nashindwa nianze kufanya ipi
2026-02-10 10:12:43
27
26bosslady5
Boss lady✌️ :
Hongera dear nmependa ulivyolipangilia
2026-02-10 10:09:04
71
linhkidoti1
kidoti :
Manuka ya hivi huwa nayaogopa najua et yanabei kubwa au ni umaskini wangu tu unanisumbua
2026-02-10 08:49:24
5
kiwirahaibacakes
Kiwira Haibacakes :
hongera my hii ndio ndoto yangu jmn mungu nisaidie
2026-02-10 09:58:10
12
kinga_electronics
andrea sadicki :
Nakuja kukopa na nikinunua juice mkate nipewe bure binamu ushaelewa😂😂😂
2026-02-11 08:25:24
1
julianakweka0
manka julie :
nalo lakini umepanga vizurii
2026-03-04 13:47:44
0
aneth.rugabela
Aneth Rugabela :
Apo million ngap nione kama nitaweza nijib kipenz🥺
2026-02-12 06:57:19
3
peteredna920
Peter Edna920 :
Niko inbox yako Esta
2026-03-04 13:14:56
0
araphatyaboubaqar
Chuda the great# :
MashaAllah shop linavutia at kununua chochote hongera sana
2026-04-09 18:10:21
0
caren.cake
caren cake :
Hongera mpambanaji
2026-03-04 14:22:24
1
user7153095951863
GreJoste :
umepanga vzr hongera saana
2026-02-10 09:43:37
1
nakija3
nakija@salila :
upo vizuri barikiwa
2026-03-13 18:49:50
1
user7071832585
stella mongi :
wawoo duka limependezaa
2026-02-12 04:57:27
1
_blackbeauty_6
BlackBeauty🌸👸 :
Mashallaah 🥰
2026-02-10 16:40:59
2
blessed1girl
Blessed girl🥰 :
Inshallla🙏🏼😊
2026-02-12 07:47:31
1
user84806118616738
mercy :
Najiungamanisha na biashara hii Mungu akanibariki nipate kama hii
2026-02-12 16:24:07
1
graceafricani
Grace Africani :
umepanga vizur san hongera san
2026-02-10 19:01:48
2
lastbornvivishop
Vivishop🥰🍚💸 :
Unaniua wew dada uwiiii
2026-02-12 07:13:49
1
lettyjames
lettyjames :
umepanga vizuri sana🥰🥰
2026-02-10 09:56:27
1
user41916985295092
Diana princess :
hapa bila m8 na kuendelea hautoboi
2026-02-14 20:00:38
1
judith_wigs_stylist
JUDITH WIG STYLIST -TZ :
hongera sana umeweza
2026-02-10 08:25:08
2
mankakimaro1
Mankakimaro1 :
Umepanga haswa nice
2026-02-10 08:40:18
0
To see more videos from user @esterminmarket, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About