@machinoocomedy: Hatimae nimenunua nyumba karibu na makaburini ila yaliyonikuta sitokaa nisahau. Ila yote kwa yote nipende kutumia nafasi hii kumuomba radhi aliyeimba hii nyimbo @Oshaynofficial kwa kutumia baadhi ya maudhui yake ikiwemo sauti ya huo wimbo alioimba. kiukweli nimetokea kuupenda sana huo wimbo hivyo nikasema wacha niufanyie jambo all in all sister unajua sana kuimba na una sauti nzuri kama wewe ndio ulieimba huu wimbo basi chukua haya maua yako. by MACHINOO COMEDY #creatorsearchinsights #comedyvideo #funnyvideos #machinoocomed #oshayne