@veriafya: Nafaka zisizo kobolewa huwa na Makapi mlo yanayofaa kwa afya, ambayo pia huchelewesha kupanda haraka kwa Sukari Mwilini. Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi pamoja na mambo mengine anafafanua zaidi kwamba ulaji wa kiasi unahitajika ili kulinda afya. Video: TBC