@cutevinercosmetics: Hizi ni DESIGN MPYA ZA HOT COMB , MODEL MPYA AMBAZO ZIMETOLEWA MWEZI HUU BADO HAZIJACHUJA Moja ya hot comb tuliyoipata ni hii MAXGOLD HOT COMB Ambayo ina Moto MKALI SANA na hii zamani ulikuwa unatumia kwa wigs pekee… lakini sasa hivi wameimprove wameweka option ya kupunguza na kuongeza moto means unaweza kuitumia kwa nywele yako mwenyewe kama unataka kunyoosha nywele zako na bado ukaitumia kwa wigs zako.. Hii ni hot comb inayochemka na ina plate ya ceramic, ukitumia haipoi mpaka unamaliza… sio hot comb unatumia kidogo imepoa mpaka usubiri ichemke tena … hii ukiwasha ikachemka unatumia mpaka unamaliza.👌👌 Hii Hot comb tumeitenga kwa wale wenye budget ya kati lakini wanataka kitu kizuri na perfect👌👌 basi usiangaike sana kuchagua uchukue hot comb ipi… We chukua hii na utakuwa umefunga mkataba wa kuangaika na HOT COMB Tsh.60,000 unapata hot comb yako Na hii unatumia Salon na unatumia kwa matumizi yako mwenyewe.👌👌 Ni New model kabisa… utaweza kuitumia kwa wigs na utaitumia kwa nywele yako mtu… unaweza kuseti moto kulingana na nywele zako. Kwa wale wanaoweza kufika dukani basi unaweza kuja kutest na kujihakikishia kabisa,uchukue ukiwa na uhakika 👌👌 Tunapatikana Sinza Mori Call/whatsapp 0744382928 Tunakuletea popote ulipo Tanzania