waislamu hata mpita njia akiona watu wanaenda kuzika hata kama marehemu hamjui atajiunga kwenda kuzika!
2026-02-13 07:30:39
256
Mwanamkasi Ngare :
kwani wakristo n dini au ni njia ya kutafuta riziki😂😂😂😂
2026-02-11 12:57:12
285
Kaka Mau :
Kuna waislam na uislam sasa acha nikwambie ukweli wa Islam! Pumzika mtu ni sheria ili asije kuacha harufu mbaya hapa Duniani ila ukimfanyia maiti Ibada ikiwa yeye hakuwa mwenye kufanya Ibada huo sio upendo bali ni unafki katika Iman Ya Kiislam jina sio dini bali vitendo ndio dini Ya mtu kisheria mtu asie swali huyo hapaswi kuswaliwa huyo kitu anatakiwa kufanyiwa ni vitu viwili tu Sanda na Kwenda kumfukia. Masheikh wengi utupumbaza sana sisi Kwa kutufanyia matendo ya kiibada ikiwa sisi hatukuwa wenye kufanya Ibada na hapo ndio kila mtu uwamini hata asipo fanya Ibada ataombewa na ataenda peponi Kwa sababu yeye anaitwa Omary, Ally, Mohammed nk lkn kama wangeufuata uislam unavyo taka ninaamini wengi wetu tungekuwa tunajaa misikitini
2026-02-13 10:12:01
22
Abu :
waislam takibiriii
2026-02-14 11:55:27
81
🦋vidda🌹💓 :
waislam tumswalie mtume
2026-03-31 21:20:53
13
Bimzuri matata :
Kwa Mara yakwanza umeongea point Mashallah 🥰
2026-02-13 13:13:19
59
mohamedmboger :
ata akifa mkristo mkituachia tunazika tu bila shida
2026-02-22 11:11:11
32
mishmuuuu beib :
waislam takbeer🥰🥰🥰
2026-02-20 20:50:03
12
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Allahu Akbar ❤️❤️❤️
2026-02-19 06:37:00
21
Swaumu Abdul :
nashukuru kujikuta mwisilam
2026-02-24 19:54:05
5
ALILIY Kapaka :
Islamic ndiyo dini ya kweli
2026-03-07 08:02:29
11
Mbaruku Francesco :
umebakiza kusilim tu. Mungu akuongoze
2026-03-18 17:42:22
5
Eithopian niccur :
mungu atujalie mwisho mwema
2026-03-18 21:37:47
7
Mayala Reuben :
allahu Akbar
2026-02-16 11:30:02
5
Ostadh bahati :
الله أكبر
2026-02-13 15:25:17
10
khuneysa :
kweli waislamu Wana upendo sana
2026-02-11 19:13:03
30
Emanuel Samoja :
waisilam.kwanza.hawaziki.wao.wanatupa
2026-02-13 10:14:07
9
IBRAHIM SUNGA :
kama Sio fitina za ulimwengu zid y uislam basi Bina Adam wote tungekua waislam
2026-02-14 20:33:33
36
masoud masoud :
mzee wa busara mungu akuongoze
2026-03-11 16:51:42
6
Calos 4120 :
sina ata maneno tena ila chukuwa like t ww
2026-02-17 07:39:19
6
Lady Jay❤️ :
waislam allah atutie nguvu tuzd kushikaman
2026-02-19 14:20:03
9
seif abdallah :
waslamu tunasifika kwa tabia njema
2026-02-11 17:02:20
21
To see more videos from user @clemence.mwandambo, please go to the Tikwm
homepage.