utaskia mke wa mtu unakaaje kischana😂 sasa npauke nafanya kaz mashine?😂😂😂
2026-02-12 12:44:00
257
🌻dior🌸🕊️ :
Wanahasira kama mbogo🤣🤣
2026-02-11 20:33:09
200
Max ged@ :
kesi imefika kwa farao🔥🔥🙏🙏
2026-02-12 07:14:45
102
Daddy’s princess store 💞 :
Cjui niwatumie majirani zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-12 07:01:10
99
zizuu202 :
Huyu dada huwa nampendaaa anapitaga mule mule
2026-02-12 01:58:15
42
liz Michael☘️ :
vita ni Kali mnooo uku mtaani mm nawanyoosha mamae wanasema et sisi Malaya 😃😃
2026-02-12 04:43:32
33
️gee🪷 :
Wake za watu🤣🤣
2026-02-12 07:48:38
13
gresianadidas :
Alikaida ndo mtu gani😁
2026-02-12 12:08:02
5
kichunaoutfit :
Haya Mkuje mvae mpendeze🥰
2026-02-11 22:36:54
6
🦋Reymarh :
Da fiona hakunaga kafeel kazur kama kutafuta ela yako jaman uwiiii🔥🥰 especial kwa mwanamke🥰
2026-02-12 15:31:59
35
Shine with lady v :
ameolewa na alqaida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-12 07:01:43
8
Jeri :
huyu naye atatumaliza na ukweli🤣🤣🤣
2026-02-13 19:22:39
9
Fazoo Fashion♒️🇹🇿 👗👖👠👙👜 :
Nimeshindwa kuiiba jaman 🥰
2026-02-12 18:46:22
5
suzanGodfrey02 :
finally someone said it😂🤭
2026-02-11 21:39:34
15
hgirlnavees♎️🤍♎️ :
🤣🤣🤣Uwiiii Ila da fify unajua kuwashika penyewe 😂😂
2026-02-12 05:40:35
11
Maggie njugush :
mamangu mzazi alisema"mwanangu unapenda maisha ya juu sana"...I took her words positively..Leo hii Mungu kanifikishia hayo maisha
2026-02-12 07:51:43
5
Marymary :
mambo ya meno yametokea wapi sasa apo fifi😂😂 anyway good lesson
2026-02-12 12:22:36
5
Sheila 🇧🇮❤️ :
wana roho mbaya na kisirani saaana kweli😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-02-11 23:53:19
8
MJ UNISEX INNER WARE :
🤣🤣🤣 LEO LEO KAZIIII IPOOOO WAELEZE KWAKWELI
2026-02-12 07:13:21
7
Raechel love :
🥰🥰🥰🥰 usiombe uwone iyo vita inabamba hadi raha
2026-02-11 21:31:52
7
nadyatunda21 :
mwanangu yuko primary last Year now 'nikiendaga shuleni kwako sasa uwii!🤣 anakuja kunambia mama wenzangu wanakataa eti we co mama angu😂😂 na wengine wnasema mamaako mzuri ....kujipenda ndo kitu najuaga....cvalishwi but I love my self✌️
2026-02-13 18:01:15
7
NGUO KALI TZ :
Hizi hizi nguo ninazo WAUZIA, NJOON TUPENDEZE BUANA AUHHH❤️🙌🏽
2026-02-11 21:06:12
8
Jacque. store :
a woman choose yourself more takecare of yourself🥰 am still learning
2026-02-11 21:15:22
7
mwana safu :
kweli kabisa
2026-02-15 02:58:12
2
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.