@mubaraka_almakhzumiyy: #Shekhe_walid_Al_had🇹🇿🇹🇿🇹🇿

MUBARAKA ALMAKHZUMIYY👳
MUBARAKA ALMAKHZUMIYY👳
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 February 2026 11:10:36 GMT
716654
43857
1162
7700

Music

Download

Comments

miss_minah2
miss minah💕 :
sipendi niwe naongea mtu anyamaze😂😂😂
2026-02-12 18:02:14
396
lulunk28
lulunk28 :
jamani ukimuangalia kwa jicho la ndani ni mzuri huyu baba😊
2026-02-12 14:40:56
565
abuu.salehe25
Abuu Salehe :
kabisa huwezi ishi na mwanamke ukiwa mjuaji🤣🤣🤣
2026-02-12 14:14:11
290
jalyzo
Jalila Jagna :
Shekhe hawasikii huku wanatubishia😅😅
2026-02-12 15:32:09
167
habbylove27
Mama girls 👯‍♀️ :
ila uyu shekhe handsome au niache umalaya🥰🥰
2026-02-23 15:56:22
24
vihad03
🌺viha🌸🦋 :
Unashangaa anakwambia huna uwezo wa kuzalisha na mna watoto3 ndani😂😂
2026-02-12 18:58:20
134
prettysia32
Prettysia :
Akikaa kimya ananidharau😂
2026-02-12 19:24:54
22
princesaskim
❤️melika 🧕 :
Mie napenda shekhe wangu akiongea mwenyewe kama hataki😍👌anatabasam la kupendeza Mashallah Allah akupe umri mrefu kwaajili yetu💞
2026-02-12 14:42:38
101
user69416099815270
sofi :
huyu baba anawajuilia wanawake😄😄
2026-02-12 15:14:45
61
lovjawwad
beutycom :
nimejikuta nacheka dah😂
2026-02-12 14:28:42
48
khassan73
hawa :
😂😂😂😂😂😂ila nimempenda bure shekhe
2026-02-12 18:28:02
14
user2157025980774
Sasha :
Anaongea kama hataki mashaallah🙏
2026-02-12 19:30:35
24
minah11c
Aisha bby 💫💚 :
jina la sheikh jmn maan napenda mawaidha yk ila jina lake Nd sijalifaham bd
2026-02-12 19:53:55
26
fatty138
fatty :
mm nampenda huyu shekhe walahi Allah amtunze🥰🥰
2026-02-12 14:45:48
38
shurah..bae
Lastborn🦋 :
Natamani nikalioneshe lile kenge languu😁😂
2026-02-13 15:24:27
7
user79033959608617
[email protected] :
yani ww ndo sheikh wangu mungu akuhifadhi
2026-02-12 12:28:54
21
zahramotto
👑Zahra Zahra💞🌹 :
hii nayo tumeshinda😂😂 wanawake oyeee
2026-02-13 05:13:08
21
elly_muro
elly :
uyu braza nae ni anatemaga hekima mwanzo mwisho, me so muislam, lakini hizi ndio hekima
2026-02-13 16:14:29
16
ms_shadya
Ms shadya vijora :
Niongee nae afu akae kimya ntampiga na mwiko 😭
2026-02-14 14:27:10
6
100minahsall
mimahsall :
mnatuchukuliaje??
2026-02-12 15:02:58
31
userallymakea
userallymakea :
Ukibishana naye utashindwa mm huwa natoka enje anakupa maneno yatakuacha mdomo wazi
2026-02-14 05:40:21
11
shabanramadhan215
Shaban Ramadhan :
yaani ukiwa hivyo ujuwe sio mwana mme yaani utawaliwe na mwana mke
2026-02-12 17:40:29
6
user16239387790395
Z mama :
shee anaongea kama semaji la simba hammed ally
2026-02-13 06:01:00
10
asma.haji3
Asmaboutique :
la mwaka jana mwaka juzi mwaka ujao kama najiona 😂😂😂
2026-02-12 17:14:21
22
mckenzysaidy
Ndebele Oggy :
kabisaa.....😂
2026-02-12 12:36:01
5
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About