@mona_uzazi: Mara yako ya kwanza kupata uchungu ulikua wapi na Nani alikupeleka Hospital #wanawake #uzazi #ujauzito #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok

Dr Mona Uzazi
Dr Mona Uzazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 February 2026 13:07:52 GMT
7799
220
14
3

Music

Download

Comments

janeth.ernest0
Janeth Ernest :
Mama yangu jamani Mungu amtunze Nilikua naishiwa nguvu Ila nikisikia sauti ya mama napata nguvu ya kusukuma Mungu awatunze wakina mama wote🥰
2026-02-14 12:53:53
4
i117588
Chaga girl♥️ :
nilikuwa nyumban na mshukuru mungu mama yangu alinipeleka 🥰🥰🥰so much my mothers 🥰🤰
2026-02-16 19:20:39
2
brandinajacson
Brandina Jacson :
nilkua kwetu wakwanza kujua mama yangu mzazi mungu ampe maisha malefu 🥰🥰🥰
2026-02-12 14:45:51
5
malema.mens.wear
Malema❤️‍🩹 :
nilikuwa na Mumewangu ni doctor alianza kujua kablaa yanguu akaniambia kaa chinii punguza mawazo nakupenda mke wangu twende hospital mama angu 🥰🥰
2026-02-16 04:00:48
3
naahlizerry25
naahlizerry25 :
Nilikuwa nimelala na mama anguu mungu azidi kunitunzia nampend sana♥️🥰♥️🥰
2026-02-15 02:35:09
1
dyanatrez12
dynatrez :
Bado ako na nguo😂 huyu bado bado😂😂😂
2026-02-13 13:42:59
1
user275099724913016
Doraekofo :
🙏
2026-02-14 13:17:52
0
user91405620753264
user91405620753264 :
mpo wap mwe
2026-02-17 03:41:50
0
To see more videos from user @mona_uzazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About