@bernardsimulizi: Mkate wa Sumu Uliokuwa Baraka 💔 Mzee maskini aliyeomba chakula kila siku alibadilisha maisha ya mama mmoja… 🍞 “Mkate wa Sumu Uliokuwa Baraka” – funzo: chochote unachofanya kwa mwenzio kinaweza kurudi kwako. ✨ #HadithiZaKweli #SwahiliStories #WatotoNiBaraka #LifeLessons #ShortStories #karma #simulizizakweli #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #tiktokcongokinshasa🇨🇩🇨🇩🇨🇩
BernardSimuliziOriginal
Region: TZ
Thursday 12 February 2026 15:43:16 GMT
Music
Download
Comments
chancedada5 :
amen🥰🥰
2026-02-12 19:05:00
7
Prosper mallyaprosper20@gmail. :
kweli funzo kubwa sana..
2026-02-13 10:44:52
12
Grace Kadzo :
Amen 🙏 🙏 wema hauozi
2026-02-13 09:22:59
5
NAOMI KASONGO :
mabaya yote tutalipwa hapahapa na mema hapahapa duniani.
2026-02-12 16:28:24
19
perciah04# :
Kile ambacho unatamani kutenda,,ndio kitakacho kukurudia ww,,Asante Kwa ufunzo Mzuri Na ushauri Mwema🙏🙏
2026-02-14 05:59:59
6
user241480498016 :
aksante mungu
2026-02-13 17:16:00
5
asanteni kwa kutupatia mafunzo yanayoweza kutusaidia ulimwenguni
2026-02-20 19:57:59
6
Adorateur ft Dr Abba :
Mungu abariki wtu wake kabisa tu tatuma injili kwakilanjia makusudi iwafikie watu
2026-02-19 14:36:14
5
glorious sunshine :
Mungu akubaki🙏🙏🙏
2026-02-13 13:19:06
8
Nasibo Guyo :
kuwa mwema kila wakati💯💯
2026-02-13 07:51:40
5
Elias hawa :
nikweli panda mema utafuna mema merci beaucoup
2026-02-14 08:39:27
7
Mariam Haruna :
Kweli funzo kubwa sana
2026-02-22 18:51:28
5
saint Coutinho Zacharie :
🙏🙏🙏 Mungu asifiwe sana.
2026-02-12 22:05:12
5
abdisky :
true
2026-02-12 17:12:06
5
getrudemwaipopo :
amina
2026-02-12 17:09:38
6
Canael :
upendo utawale kwa kila mtu
😊
2026-02-14 09:13:12
5
HAMAD HILAL HAMAD :
alhamdulillah 🤲 🤲 🤲
2026-02-13 15:46:31
6
Manfred🥷 :
kweli🙏
2026-02-14 04:00:38
7
userNyabuku :
Huu ni husauri msuri Asante
2026-02-12 16:41:14
11
majuto :
αмιиα🙏🙏🙏
2026-05-04 15:59:39
1
yabben :
amen ;
2026-02-18 03:21:42
3
safari :
visibilite 2926
2026-03-02 06:46:14
2
neema rosine :
kweli ile kabisa mungu akubariki
2026-02-20 19:28:11
2
Goefrey odinga :
thank s for your terching
2026-02-14 20:25:22
2
user hhhhhhak :
mungu njo kila kitu apa dunia
2026-02-20 21:10:52
4
To see more videos from user @bernardsimulizi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.