@fmatulanga: Kwa Mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania. Bei elekezi kwa Februari 12, 2026. Wakia 1 ya Dhahabu ina nunuliwa kwa zaidi ya Shilingi Milioni 12 na Kuuzwa kwa zaidi ya Shilingi Milioni 13. Ikiwa hali ya Dunia itaendelea kama ilivyo sasa. Benki kubwa za biashara duniani zimebashiri hadi ifikapo robo ya 4 ya mwaka 2026. Bei ya Wakia 1 ya dhahabu itafika dola za marekeni 6,000 sawa na zaidi ya Shilingi milioni 15 za Tanzania. Dhahabu pia bei yake hushuka #ukwasi #dhahabu