@yasiningitu: Askari wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, walilazimika kumnyakuwa kijana mmoja aliyedaiwa kujaribu kusogea karibu na jukwaa wakati Rais huyo alipokuwa akilihutubia hadhara katika Jukwaa la Biashara la Nyota. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya utoaji wa mitaji kwa vijana wanaoanzisha biashara leo Alhamisi Februari 12, 2026, ambapo maofisa usalama walichukua hatua za haraka kumkamata na kurejesha utulivu bila kusababisha taharuki. Baada ya hali kuwa shwari, Rais Ruto aliwataka maofia usalama kumshikilia mtu huyo ili suala lake lichunguzwe na kushughulikiwa baadaye.
YasiniNgitu
Region: TZ
Thursday 12 February 2026 18:26:17 GMT
Music
Download
Comments
ayubuacson :
kama angekuwa nasilaha tayali amesha shuti sijaona usalama apo
2026-02-13 02:43:38
311
Thing :
Mbona Watanzania 🇹🇿 mnacheka🤣🤣tz ukijaribu hiyo kitu ndio utaelewa kwanini hakuna mtu amewahi jaribu😂😂😂
2026-02-12 22:32:38
111
Gun P.1770 :
Raisi wa Tz ausogei mita 20.
2026-02-12 21:58:23
142
kapsuumbata :
lakini aliachiwa huru baadaye... kwenu tz jamaa angeuwawa
2026-02-13 08:04:09
137
Uchebe👊 :
sasa hapo kama anasilaha si tayari kasha shoot ya kichwa
2026-02-12 22:13:53
27
gilberth :
Hata kiaviator hakina haraka hivyo 🔥🔥
2026-02-13 07:09:51
26
user3271084600993 :
we unamtetea ruto km nani na cc wenyewe hatumpendi😂
2026-02-13 05:14:39
3
SINA MELODY :
Tz kipigo utakacho kulaa hata shetani atatamani akuombee msamaha😂😂
2026-02-13 11:32:24
19
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Halafu hii ni mara ya pili ruto imemtokea hivo
2026-02-13 18:50:29
7
mr nobody :
😂😂😂 comment section yaonesha wazi watanzania hawatupendi heeeh 😂😂😂 hamukuona trump alipigwa risasi ya skio nyinyi
2026-02-13 05:07:45
11
amor ❣️ :
hao walinz hawap serious ingekua mkuki angeshakuf mbon
2026-02-13 11:33:26
7
Wambuka :
hamna ulinzi apo mzee mtu hadi anapanda juu ya jukwaa
2026-02-12 21:48:43
11
Ford :
level za juu hizo,mpaka kasogelewa
2026-02-12 20:30:49
7
Joseh :
hakushikwa, Ako free tu, that was not security threat, jamaa alikua anataka kuogea na Ruto tu
2026-02-13 03:14:24
5
Matsaki Abdalla :
game tu ajionyeshe kama analindwa but hakuna kitu kutuogopesha tu mbona ya kiutu kilipita🤣🤣
2026-02-14 13:41:34
0
NASMAH NAH1 :
Kapita nae stayle ya Songesha😆😆😆😆
2026-02-13 07:12:54
5
user80828341955pawa :
wakenya nawakubali sana
2026-02-13 12:54:15
3
Doctor Babu :
yuko uhuru na ni aspirant mca
2026-02-13 22:44:45
3
masafo :
Tanzania mtu hasubutu iyo kweli ilikuwa ni Kenya😂
2026-02-13 21:18:14
2
John Mzimbabwe :
Apo mtu angekuwa na Bastola si tayari Ruto marehemu😂😂
2026-02-13 03:23:59
2
BIN NICHOLOUS :
si wanajikutaga et wanaona kila kitu ata mtu anachowaza mbn hawakugundua before na mtu adi akakaa high table 🥺
2026-02-13 19:42:51
3
@Baruaidewa009 :
ongea sasa kizungu ndio tuelewe 😂😂
2026-02-13 20:43:07
2
Linet ❤️🇰🇪 :
sema njaa ni mbaya huyo ni strees za njaa
2026-02-13 17:52:49
2
Power of GOD :
true
2026-02-13 16:14:50
1
masudi ngocho :
kisha akasema muacheni Ruto anabusara sana
2026-02-13 08:38:35
3
To see more videos from user @yasiningitu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.