@taymour_seif: Wakati upo chuo ndio mda mzuri wa wewe kuanza kujenga biashara usisubiri Mpaka umalize Anza mapema From @John Madeje -ushauri Kwa wanavyuo . . . .#business #biashara #fyp #tiktoktanzania #ushauri

iamtaymour
iamtaymour
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 February 2026 05:53:07 GMT
102995
6208
356
466

Music

Download

Comments

pearl1444
Pearl🌹 :
Usiwape pressure watu pls rudisha pua nyuma
2026-02-13 21:26:59
280
tikoujenzi
TikoUjenzi :
Watu wanajipata after chuo, unajipata vipi😏 MUST unasoma engineering acha Ujinga wa motivation za kijinga
2026-02-13 17:42:53
65
scott_tz8
coach Lawrence :
I'm starting now
2026-04-14 21:25:38
1
astronomy_king
Casper 🧠 :
Usitie watu pressure wee
2026-02-13 20:10:32
7
alphatech029
AlphaTech :
Hamna aliyewahi kuishi mara mbili duniani wote ni wageni punguzenii ushaurii !! Swali je wewe ulijipata ukiwa chuo ?
2026-02-13 20:25:04
51
soldierman20
LIFE FIRST :
STARTING BUSINESS WHILE IN COLLEGE IS BEST ADVICE FOR FASTER DEVELOPMENT LATER
2026-03-24 09:41:58
12
fasteey_
Fasteey :
Usitishie watu maisha
2026-05-02 17:09:22
1
dorcas.simon951
Dorcas Simon :
nifunze
2026-04-14 11:42:58
1
dicque88
_dicque88 :
😂😂Vijana wenzangu manalalamika kwamba hamna muda 😂😂😂 sawa ila jamaaa ameongea bonge la points watu saiv mnajificha na vichaka vya kozi ngumu hahaha mm nipo mwaka wa 4 pharmacy hapo Muhimbili sasa iyo comfort zones mlizopo zitawatafuna dunia muda ndio adui wa kwanza sasa wewe maliza chuo alaf anza kujitafuta tupo tunakungoja pambana acha kuweka visingizio vya kipuuz et engineer 😂😂 we sio wa kwanza kuwa engineer force mzeeee shida akili zipo kwenye kuajiliwa😂
2026-02-13 21:55:53
29
xard_jms258
@xard~jms :
Na husemi mtaji tunapata wapi🥺
2026-02-14 05:34:49
6
_jw448
Justini :
unaongeah point kubwa madini,kichwa ndogo huwez elewaa
2026-02-13 21:23:38
3
samwelkalolo338
Mansam19 :
punguzeni ushauri 🤣🤣
2026-02-13 20:13:41
5
ofao_cosmetics
Ofao cosmetics 💄 :
na kitu chaajabu wengi wanaompinga huyu mtaalamu ni wakiume duh
2026-02-13 21:37:42
7
jinbillnz
JinBillnz :
Wewe unafanya biashara gani?
2026-02-13 20:20:28
7
elisha_muhoni72
Elisha Muhoni :
siku hz mtu akiwa na gari tu anajikuta motivational speaker
2026-02-13 22:11:02
15
blvck_riddle
™️ :
Truuuee
2026-04-28 18:20:01
1
cedony6
Cedon6 :
hiii ni kweli kabsa bro🙏
2026-02-15 11:23:02
1
shakahtz
shakahtz :
watu wakiwa free wancheza e football na dream league acha tupambne
2026-02-14 04:19:21
5
trybeth5
lisper 💞 :
jmn mnaanzaje🙄😭
2026-03-23 22:43:24
1
dantte_banks
dantte_bankx :
Bro ilo silipingi kabsaaa
2026-02-13 23:17:30
1
user37812384095235
SillahAfrica🌍 :
broo umenena ukweli mtupu
2026-02-17 05:47:50
2
abdillah_mohamed
Abdillah 👑🤎 :
Ni kweli kbs
2026-02-14 03:14:47
1
lufunhnc8lz
lufunhnc8lz :
fact but limited
2026-04-23 01:26:43
1
mayra_0404
mayrah -04 :
kweli kabc nimekuelewa mm nafanya biashara nikoo first year...mungu atanipa ushuhuda one day
2026-04-12 10:36:50
2
finnestcafy
Bunnycafy ❤️✨ :
Kamplaaa 😂24/24hours 🙌🏻😩😩pharmacy no time Jamn 😭😭😭
2026-04-05 06:20:59
2
To see more videos from user @taymour_seif, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About