@justine_furniture: kabati za jikoni kwa badget ndogo. Je?Unajua unaweza kuboresha muonekano wa jiko lako kwa badget ndogo kabisa . Najua watu wengi Wanatamani sehemu ya kupikia iwe na mpangilio lakini wanafeli kwasababu ya gharama kubwa za kitchen cabinet hasa kwenye space kubwa. Tafadhari weka uwoga pembeni nitafute tufanye kitu jikoni kwako kwa badget yako 0755397810 Ubungo-msewe #kitchen #cabinetstorage #jikoni #furniture

Justine_Furniture
Justine_Furniture
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 February 2026 06:39:09 GMT
126296
1709
209
365

Music

Download

Comments

idi19987
idm742 :
kuanzia bei gani
2026-02-13 11:29:48
4
mariomi88
mariomi88 :
karibu kenya
2026-02-14 11:24:15
1
user9284932102026
userAngel jr :
nimependa kazi yako nitakucheki
2026-04-30 16:20:45
1
oceancool1
miss Grace mwai :
hii ni tz or Kenya
2026-03-05 12:41:29
0
user5256591519561
user5256591519561 :
uko wapi
2026-02-15 12:35:17
0
emmyalex530
MAMA WATATU :
nimependa unavyo jibu wateja wako
2026-03-10 05:39:10
1
gassio_
Gassio :
Makabati yako juu saaaana
2026-05-09 22:26:05
0
mara_kwetu657
Jumapili Jumapili :
unapatikana wapi
2026-02-14 12:23:36
0
ummmanaar3
ummmanaar :
muko wapi ?
2026-05-13 10:04:09
0
jessicamoshi500
Jessica Moshi :
mashaallah mungu anipe pesa na mm
2026-04-02 19:10:51
1
fatu73489
fatu :
kwa pesa tanzania sh ngapi
2026-05-10 08:21:51
0
maishaabdala
salome wake :
uko wp
2026-02-17 17:03:05
0
mama3kids87
anne_kabuye :
mi nataka ya chini tu,bei sh ngapi
2026-03-24 11:54:07
0
3250000dk
3250000dk :
eti 500,000
2026-02-23 00:31:24
0
samiramanu945
Shadya :
uko wapi
2026-02-17 09:15:38
0
azizabeautycosmetics
Aziza Besta💖 :
unapatikana wap
2026-02-14 12:52:09
0
clodwick.ngonyani
Clodwick Ngonyani :
mm sema nipp Dodoma ndo shida
2026-02-17 09:08:35
0
emmy05267
emmy :
nakupataje bosss
2026-02-14 15:35:01
0
love25th7
💧💧Mamy J 💧💧 :
mnapatikana wap
2026-02-14 10:50:44
0
milkhavanfiaty
milkhavanfiaty :
hapo chini hizo kabati imejengewa hapo ama ni mbao
2026-02-19 16:20:18
1
katoto_83
Ms Passionate :
Kama hyo bei gan
2026-02-15 16:15:20
0
mhando255
mhando255 :
tunaanzia wapi tajili naitaji ii kitu
2026-02-14 13:07:23
0
yusuph_used_items
Uza_nunua_used_items :
juu hapo marble au tiles
2026-02-15 12:31:16
0
ashant36
"🍂 AriesB@BY♈. :
nataka Lkn jiko langu dogo
2026-02-14 05:04:13
0
chumchum282
B&B :
Unakuja Kenya pia
2026-02-15 11:51:56
0
To see more videos from user @justine_furniture, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About