@chosenone_tz: Joyce anasema huwa hakagui simu ya mpenzi wake ambaye ni "Sabato" vipi wewe huwa unakagua simu ya mpenzi wako? Mwisho huu ndio ujumbe wa Joyce Kwa Mpenzi wake baada ya kukosa tuzo kwenye hafla ya ugawaji wa tuzo za watengeneza maudhui iliyofanyika jana. #ifm #udom #niffer #diamondplatnumz #dogopaten
chosenone_blog
Region: TZ
Friday 13 February 2026 12:34:14 GMT
Music
Download
Comments
🦋asnath 🦋💞 :
kama mwanamke anatakiwa kuongea ivi bas mm ni mubaba🤣🤣
2026-02-13 13:23:31
1216
🦋❤Mimersh❤🦋 :
papaa i love you so much😏😏
2026-02-13 19:41:54
308
Dad’s fav🥹❤️ :
Kama mwanamke anatakiwa anatakiwa kuongea hv usisite kuniita Jerome😒
2026-02-13 15:59:02
1045
Goldengee🦋 :
yan nina roho ndogo na simu nashika😂ooh acha nife
2026-02-13 15:57:17
447
Aksah collection :
😁
2026-02-13 19:31:17
241
Brothers printing :
Ana sauti nzuri
2026-02-13 19:46:45
118
Regina Sultana :
Kama wanawake wote wanatakiwa kuongea hv basi mm ni Kobisi Kikala😂
2026-02-13 18:11:39
191
midahsimba🦁 :
mtu mwembamba kuitwa papaa hainogi au nivae miwani
2026-02-15 05:22:15
22
diana ndombah :
MY NAME IS KOBISI KIKALAAA🥺
2026-02-13 20:01:23
36
@officialney💋 :
ukijizoeza kusema una roho ndogo hukagui cm yake nayeye ndo anaongeza sas me hapana cm lazima ishikwe kwakweriii 😏🥺
2026-02-13 20:29:22
110
Rey brand Tz😊 :
kama mwanake anatakiwa kuongea ivo baasi call me juma 😅😅😅😅😂🤣🤣😂🤣
2026-02-13 15:25:51
82
Rah baby💞🔐🫂❤ :
jaman 😂😂😂😂mm napenda sauti yake 🥰🥰
2026-02-13 15:51:47
32
Silver :
call me DUDU BAYA😂😂😂
2026-02-13 22:46:41
7
Being glam___.🎀🧸 :
Kama mwanamke anatakiwa kuongea ivi basi mm ni JAIVAH😭😂😂😂😂😂😂😂
2026-02-13 22:18:20
21
Givenn G :
kama mwanamke anatakiwa kuongea hivi bc me n mandonga m2 kazi
2026-02-13 19:28:00
53
Official Hadrathy 💞 :
BASI MIMI NI SAIDI MAAN SINA SAUTI HII😅
2026-02-26 09:33:44
5
Jemaborntz :
Kama mwanamke anatakiwa kuongea hvyo sina budi kuitwa mwandambo
2026-02-13 17:39:25
37
Nassra😌❤️ :
Kama mwanmke anatakiwa aongee hivi Basi Mimi ni jaivah😭
2026-02-26 11:19:41
16
mngoni operator 🦺 :
au mimi ni vasco dagama ✍️😩😩
2026-02-19 21:32:59
5
fifibae :
anaongea vzr jamn🥰
2026-02-13 17:35:12
39
Beby tiii💝💘 :
sauti za baba tujuane
2026-02-13 19:54:51
6
shadya :
Hii sauti mbona kama ile ATUGOMBANI
2026-02-27 11:23:01
32
sweet😋mimah :
kwahiy huyu sabato ndo papaaaa😁😁😁
2026-02-13 19:58:58
44
rey🦋 jooh🦋 :
Unaongea vzr Sanaa ☺️
2026-02-13 18:33:42
5
PENGO :
mungu kama huyu 😅😁🤣
2026-02-13 15:54:23
13
To see more videos from user @chosenone_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.