@healthcareclinic8: Ebu niambie kipaumbele chenu kwenye mtoto yupi unatamani aanze wakwanza wengine wafate napata malumbano sanaa juu ya hili ebu leo niambieni nyie mnatamani iweje? #UzaziTikTok #goviral #pregnant #fyp #viraltiktok

HealthCareClinic
HealthCareClinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 February 2026 12:38:19 GMT
149484
7167
848
158

Music

Download

Comments

user22791239505561
dhurayfah mtembwe :
yoyote mung atakae nipa nitafurai sana
2026-02-14 07:12:52
202
user2252321090302
brenda :
namshukur mung kanip baby boy mung awasaidy wajawazit wote wajifungue salm
2026-03-19 17:18:39
50
mgmzito0
Mzito :
wakiume
2026-02-14 12:21:53
5
rummy703
@Rummy@ :
wa kiume jmn🥰🥰
2026-02-14 15:36:08
7
user30025781867773
Mrs Tach :
wa kiume ishallah
2026-02-14 10:52:02
7
godblessme147
Hami tailoring_tz :
ziwe twince jike na dume
2026-02-14 15:31:28
22
marwa.chacha943
Marwa chacha :
mungu hakupi unachotaka, anakupa unachostahili,
2026-03-21 19:40:49
6
suzana.aloycemdoma
Suzana aloyce mdoma :
mimi kataka wa kiume
2026-02-14 12:17:50
9
sckola.maleko
zena maleko :
yeyote lakini asiwe kivuruge🤣🤣
2026-02-16 09:18:16
6
clara8222
Sweet baby🥀 :
naomba mungu uzao wangu WA Kwanza wawe mapacha kijike na kidume🥰🥰
2026-03-19 10:20:25
7
mrs.....isihaka
Mrs...🤗 Isihaka 🥰🌹 :
mtoto ni mtoto atakayee kuja alhamdullha 🤲
2026-02-15 10:51:09
13
haniyaswalehashur
slay queen :
mm sahii naomba mungu anipe wakike🥺
2026-02-14 07:15:57
7
lizzy.paul32
Baby Lizz🌹 :
wa kiume natamani sana Mungu nifanyie wepesi na mm
2026-02-14 12:59:17
7
user2691047081422
lizzybeth :
wa kuliume mungu asaidie tuu
2026-02-16 09:42:43
11
rafa.cute.baby0
Its rafa❤️🦋 :
wakike,kwasababu nikifanya vitu vyang atanistiri mama ake,lkn wakiume nitaona aibu kufanya mambo mengine😁😁
2026-03-03 19:19:03
7
estherkapesa11
Esther Kapesa :
Mi naomba mungu nipate wa kike wakiume ninae
2026-03-10 06:16:42
10
mrs45808
mrs45💍❤️ :
wakiume ili nichelewe kuitwa bibi maana wakike miaka 18 tayari nakua bibi🤣🤣
2026-02-14 20:30:01
5
salomechomelea
mama dinah :
me farst born ni msichana na sasa hivi na mimba nilienda scan beby boy
2026-02-14 07:53:59
10
juliet.marishela
MAMAKE SYMO N.G♥️♥️♥️♥️♥️ :
wa wakiume
2026-02-14 16:53:26
6
neyrequeen2
neyrequeen2 :
wa kiume
2026-02-14 16:09:46
6
266tripartite2
Ms🥰 :
Boy🥰🥰🥰
2026-04-11 08:27:39
1
brendaakinyi377
Brenda Akinyi :
mm natamani wa kiume
2026-05-08 13:58:36
1
philimina.domisia
Philimina Domisiani :
baby boy
2026-04-15 13:26:05
1
user97767848591550
Aman Aman :
mungu nijalie na mimi
2026-04-25 15:43:10
1
essyphilo3
Precious pretty🥰🥰 :
kiume🥰🥰🥰
2026-03-10 15:51:27
1
To see more videos from user @healthcareclinic8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About