@freddiehealthcare: ◇MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU (constipation) Watu wengi hudhani ni hali ya kawaida kupata choo kigumu au kutopata choo kabisa watu wengine siku nzima, siku mbili hadi siku tatu bila kupata choo! Au wengine kupata choo kigumu. USIPUUZIE HILO NI TATIZO KUBWA SANA. MADHARA YA KUTOPATA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU NI KAMA:* ◇BAWASILI (haemorrhoids) kuota kinyama sehemu ya haja kubwa, hii ni kutokana na kutanuka kwa mishipa midogo midogo ya damu kutokana na kutumika kwa nguvu nyingi wakati wa kijisaidia pia hupelekea maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa. ◇KUPASUKA kwa layer ya ndani ya njia ya haja kubwa na kusababisha maumivu makali sana ni kutokana na matumizi ya nguvu nyingi wakati wa kujisaidia ◇ MAGONJWA YA TUMBO kuuma bila sababu, tumbo kuunguruma hii ni kutokana na kinyesi kukaa muda mrefu tumboni bila kutolewa . ENDAPO utakaa na tatizo hili kwa muda mrefu hupelekea kupata matatizo ya tumbo kama : •Kansa ya utumbo mpana •kuwa na kitambi kinachosababishwa na constipation •muda mwingine husababisha vidonda vya tumbo kutokana na gesi inayojitengeneza tumboni. #medicine #health #magonjwa #costipation #afya

freddie_healthcare
freddie_healthcare
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 February 2026 19:53:41 GMT
176
4
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @freddiehealthcare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About