@ahmadrubibi: Taarifa zinaeleza kuwa boti hiyo ilikumbwa na upepo mkali na mawimbi makubwa wakati ikisafiri kutoka Kigoma, Tanzania kuelekea Baraka, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kutokana na hali mbaya ya hewa katika Ziwa Tanganyika, boti ilianza kuyumba na kuwa katika hatari ya kuzama. Ili kupunguza uzito na kujaribu kuinusuru, wahudumu na wasafiri walilazimika kutupa baadhi ya mizigo ya biashara majini ili boti ipate nafuu na kurejea katika mlinganyo. Tukio hilo liliripotiwa kutokea katika ukanda wa maji ya Burundi ndani ya Ziwa Tanganyika mnamo January 8, 2026. Reporter: Bandidu Mbwa Koko #tanzaniatiktok #kenyatiktok #burunditiktok🇧🇮 #congokinshasa243🇨🇩 #fyp

𝑨𝒉𝒎𝒂𝒅 𝑲 𝑹𝒖𝒃𝒊𝒃𝒊
𝑨𝒉𝒎𝒂𝒅 𝑲 𝑹𝒖𝒃𝒊𝒃𝒊
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 February 2026 09:07:53 GMT
4245
58
0
9

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ahmadrubibi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About