@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 3/4: BEI 48,000/= Hii inakua na Kuku Mmoja wa Kisasa na Nyama ya Ng'ombe ya Kutosha kabisa watu 3/4 WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 5/6: BEI 75,000/= inakua na kuku mmoja wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10. WATU 8/10: BEI 115,000/= inakua na kuku wawili wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package) KUWEKA ODA TAFADHALI:- PIGA 0688 151783 PIGA 0658722393 KWA DELIVERY PIGA: 0764 689647 WHATSAPP 0688 151783 TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.
ZEBRA RESTAURANT
Region: TZ
Sunday 15 February 2026 10:15:58 GMT
Music
Download
Comments
Cape Africa Tours :
huyo kuku ndo mmemueka style gan hiyo 🤣🤣🤣
2026-02-22 10:02:46
59
Fadhili Juma :
sasa mtu anapost alafu hajib coment ndonini sasa
2026-03-14 19:18:42
8
noon :
mtu si anipeleke hapa jamn🥹😩🥰
2026-02-16 17:49:57
11
Eva Mazenga :
Uko wapi shingapi
2026-03-21 16:07:26
0
Eliya mchelu :
najuwa sio njombe hiyo maana Kuna kitu sijakiona kama unajuwa ni kitu Gani kimenifanya nijue kuwa sio njombe nambiye basi
2026-03-21 13:07:12
1
NIZO__WIZZY__💫💫 :
shigap
2026-03-21 10:42:07
0
Sakina bby :
how much
2026-03-22 07:54:54
0
love🥰 :
25000 wapendwa namb iy op
2026-02-19 12:14:23
8
BINT. SEIF 🙏 :
mm nae ninani nimechukua hiyo video nikajipikie mwenye Kisha nipange kama hivyo
2026-03-10 19:39:06
2
g swai :
Niko kibaha naitaji
2026-03-23 08:45:06
0
LINDA Hair Collection👩 :
Tatzo mda mchache weng kazin unatoka saa2 apo ndio unafka home nanyie uwo mda amna aduma tunakosa weng kuja apo 🥰
2026-04-26 12:44:26
0
joyce Arthur :
namba ya cm
2026-03-21 14:59:17
0
Khadija :
beigani na mnapatikana wapi naomba jibu kipenzi
2026-03-23 16:48:28
0
rizikially37.galiam. com :
bei gani
2026-03-23 16:43:22
0
Hilda Marijan :
shingap
2026-03-23 07:52:20
0
cute G :
location plz
2026-03-21 19:46:23
0
Big nose :
olewenu na nyie tuanze kuja af chakula mkipoze 😁
2026-02-24 18:24:44
6
joyce Arthur :
mbona hakuna namba
2026-03-21 14:59:03
0
mungunamasela A.K.A C(CLASSIC) :
kama hii bei gani
2026-02-23 13:44:49
3
Prince Nelson🤴 :
kidogo nishangae kumbe bei ni ya tz
2026-04-14 22:06:31
1
shery :
kwani mtoto wa mama mkwa huoni au🤣🤣🤣
2026-02-23 17:37:23
2
@kipawatila~Worldwide :
tuliwamic
2026-02-20 17:30:17
2
nauza na kutengeneza furniture :
2026-03-07 15:33:31
0
chira kidy :
mpo mkoa gan
2026-03-16 10:02:32
1
ñötorïøüs 🏴☠️🏴☠️🏴☠️🔞 :
ⓘ 𝘠𝘰𝘶 𝘤𝘢𝘯'𝘵 𝘴𝘦𝘦 𝘵𝘩𝘪𝘴 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘣𝘦𝘤𝘢𝘶𝘴𝘦 𝘺𝘰𝘶 𝘢𝘳𝘦 using android
2026-04-03 17:38:23
2
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm
homepage.