@kingsingano5: #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktok🇿🇲 #tiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩

KING SINGANO
KING SINGANO
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 February 2026 11:36:38 GMT
54395
3239
106
186

Music

Download

Comments

kiminju_97
kimichi :
hiyo sauti unaombeaa mkopo bank🤣🤣🤣
2026-02-16 09:05:13
21
yuzogaming_
yuzogaming :
hakuna gari itakuja ziba pengo la 113 hiyo sound ni ya kipekee
2026-02-16 22:23:09
12
j.sixtraveler
BABA JAY.🚛🇹🇿 :
huyo wa kwanza balaaaaaaa oyaaaa
2026-02-17 16:04:41
5
chapwiru.26
CHAPWIRU 26%💫 :
🤣🤣 ukiwa fundi wa 113 Raha sana 🤣
2026-02-17 06:33:04
1
capt_willy
C A P T A I N :
113 sauti ya Simba...huyo wa mwisho DAF ametia huruma sana😂😅
2026-02-25 18:25:53
3
mohammedyfyeku
Mohammedy Fyeku :
hakunaga kitu kinaitwa stop engine wakat gari ikiwa kwenye moshen mrud ndio maana mnaambiwa muende shuleni
2026-02-18 13:45:20
0
trawyer
TRAWYER :
Mzee luka
2026-02-16 13:18:27
1
smartcleo
Smart cleo :
Asante yani hapa hata disel huwazi bola iishie kwenye vibuyu namna hiyo dadeki😁😁
2026-02-16 04:19:26
4
user3658481702866
user3658481702866 :
nipo hp nna nikumbuka toka mwaka 2022 hiyo nilipita hp
2026-02-27 22:17:45
0
stanleymtegha6
Stanley Mtegha🇲🇼🇲🇼🇲🇼 :
had raha🤣🤣113 bhan
2026-02-15 17:28:28
1
user9152186095655
steven regnald thomathi ngiris :
Wakwanza ndokauwa sauti ya kiume hiyo🚛🚛113
2026-02-19 08:27:51
1
user6112568534737
plascon :
🔥🔥🔥 oyaaa hapo ingekua usiku ndio balaa
2026-02-16 10:06:43
0
danielmichael298
Daniel michael 32 DMK :
mwamba kaieshimisha 113 kwa heshima
2026-02-20 13:44:47
1
maleko1342
masue :
uyo jamaa wa mbele apewe ulinzi nakubali sana chuma ipigwe vikombe ikivuliwa gear
2026-03-08 10:11:06
0
gosbertrwehaburabuberwa
77777777777777 :
Huyo DAF Anaenda Kula Hizo 113!
2026-02-18 21:15:32
1
realspotless1
It’s Williams🧌 :
Oyaaa 🔥🔥 uyo wa mbele anajua afu anajua tena 🙌🙌 113 Sauti ya Simba Dume 🥰🥰
2026-02-23 08:40:11
0
nelly.munis
Nelly Munis :
ameona stop engine haitoshi kukata iyo kona akavuahapo na 1 😂😂😂
2026-02-20 20:52:31
1
chugakids
makaveli :
balaaaa wa mbele
2026-02-26 15:47:09
0
user5137625610037
Aziz Liyanga konde fighter :
utaacha ndala ww fuata moto
2026-02-19 11:46:01
0
comdaretz
Comr Ade :
113 msweden alituliza akili yake haswa
2026-02-17 03:45:58
0
nduva_10
Nduva_10 :
113 ina raha yake bhn ikiamua kutupwa inatupwa kwel kwel na masound km yote 🔥🔥🔥🔥
2026-02-27 07:24:41
0
samwelowenya
Owenya Jr 🇹🇿🇰🇪 :
na nilifika hapo nikakupa lift mpaka mikumi🤣
2026-02-21 06:31:46
0
ramadhan.daud71
Ramadhan Daud :
nimekubali
2026-05-13 19:10:31
0
elia01734
elia :
daaah Kuna mwamb anakimbiz 113 anabeba soda cyo pw kabx yule mzee 🤣🤣
2026-02-17 19:26:43
0
rashidliomeka
Rashid Liomeka :
dafu yuko moto 😂😂😂
2026-02-16 20:27:28
0
To see more videos from user @kingsingano5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About