Allah awafanyie wepesi wanawake wote wenye changamoto ya kupata mtoto Hakika Allah Yuko pamoja na nyinyi nilipitia hiyo Hali naelewa mnavyojisikia ila siku kata tamaa kwa uwezo wa Allah Kila mwanamke ataingia leba inshaallah
2026-02-18 15:53:07
29
lily ♥️📞 :
asante kaka❣️🙏
2026-05-16 08:20:12
0
Manyada wa congo :
manyada number one
2026-05-08 09:22:14
0
Mis vivah :
I thought am alone ila kwa comment Hizi Mungu atusaidie 🙏
2026-02-15 21:15:18
21
zakia mnahwate :
Eeeh mungu nione na mm nifuraishe na mm 😭😭😭🙏🙏
2026-02-17 15:54:29
8
Lucy Aroicy :
mm nakupenda sana ndungu yangu unatufungua wengi
2026-05-13 14:31:02
0
💐💕 :
hii video ifanye ukionyesha vile wafanya kakangu plz 🙏
2026-05-13 18:27:16
0
wengarii moja :
iyo iva au mbichi
2026-02-16 06:19:58
0
Momie's Daughter♥️ :
mungu alete kheri
2026-04-10 20:48:01
0
✨️JAMILLAH✨️ :
mungu mungu mungu nione na mm 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-02-16 09:56:44
17
Eunice Anyasi :
20/20
2026-02-15 14:50:18
3
Faiza Zaharan :
mungu akulipe lenye heri na barak🤲❤️
2026-02-15 18:13:10
16
Marry Methodi :
asante kaka ngoja nikaiandae iyo Dawa nione nitaleta mrejesho hapa Ila Sijajuwa Maganda ya ndiz mbich au ya kuiva🙏♥️♥️naomba unielekeze vizur hapo
2026-02-19 11:24:45
0
Mariam Simon :
mmmmmmh kumbe ndo màna
2026-02-18 10:19:27
1
Faraja Juma :
Asante sana bro ubarikiwe
2026-02-16 17:56:32
1
fety :
Asante sana kaka yngu. Ile dawa yko ya mti wa msegese imenisaidia sana.uishi miaka yote.
2026-03-21 19:23:12
1
Eliza :
shukrani sana
2026-02-16 09:03:05
1
Riziki :
asate sana kaka
2026-02-16 05:35:19
0
dayana :
Ahsante sana kaka
2026-04-10 15:05:12
0
asharuwa43 :
Be blessed bro
2026-04-11 06:43:57
0
tiktok.com/@stacy :
Muwalimu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-28 19:04:03
0
Dolly :
kwel
2026-04-10 20:15:57
0
loicy Erick :
nakpenda san kaka angu
2026-08-20 18:12:29
0
namwile 💚🖤💛💋 :
nfiz mbichi au
2026-05-14 23:16:16
0
Zaina Nassoro :
asante 🙏
2026-02-16 06:16:03
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm
homepage.