@chusseibillitalent: #chusseibillitalent #tiktokkenya #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongofleva #fyp

Chussei Billi Martin
Chussei Billi Martin
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 February 2026 08:57:34 GMT
72390
2644
136
64

Music

Download

Comments

mamaque31
Kihila debora :
ni kaka angu yupo marekani anamaisha yake na anaishi na mke wake mzungu
2026-02-16 21:01:32
9
yusuf.og68
Yusuf OG :
Duuh japo ukongwe nilo nao hii nyimbo siku wahi kuisikia 🤔
2026-02-16 09:36:09
4
joh92981
Joh929 :
dah mwana una vitu
2026-04-15 15:39:16
1
nzogoro.patson
Nzogoro Patson :
banaba kaiga ad sauti kwa uyu mwqmba
2026-02-16 21:25:53
8
iptysam_akram
iptysam aziz :
Hapo kwenye sisomi wala sielewi ndo panaponisikitisha mpaka leo shenzi zangu
2026-02-17 06:13:03
5
eekgeminigoat
EEK ♊️ 🐐 :
Buibui dah, kapotea sana. Alinibamba na wimbo wake "Nimekusamehe"
2026-02-16 18:53:56
14
nyegere04
nyegere04 :
Kwanini malegend wanakuwaga na maisha magumu zaidi
2026-02-16 17:27:11
5
psuccess16
It's me💬💤 :
watu wanaojua mziki huwa hawapendi mziki ila sasa wale wengne sasa😂😂😂
2026-02-17 04:39:43
6
fa194174
fa :
kidaftari changu jamani😀😀😀😀 ila mamaangu Kwa kusachi 😀😀😀
2026-02-16 19:20:41
4
user7185011109273
Dachigospel :
Aligombana na luge akaambiwa na luge dogo ustar kuanzia leo baas tangu hapo hakufanya vzr Tena kimziki😳😊😀🤣🤣
2026-02-17 09:20:14
6
vowgirl
Na Bi🦋✌ :
Aaawwww nime jikuta nauimba wote 😅 au na me muhenga nowadays hamna nyimbo buana 🥰
2026-02-16 11:21:04
7
iamniffer057
iamniffer05 :
Nmeupenda Bure 🥰🥰
2026-02-16 09:06:17
5
sarahissike4
Sarah Issike :
hiii nyimbo nilikuwa naipenda sana🔥🥰
2026-02-18 16:47:34
3
popdeegerald
Pop Dee🇹🇿 :
fundi sana
2026-02-26 12:14:33
1
eugensinienga
Magari classic Car Accessories :
one of the best song
2026-03-07 19:32:59
1
suzyedy
suzystev :
2026-02-21 17:38:18
1
elroytunka
elroytunka :
2026-02-18 15:38:29
1
kassimsimba355
Kassim Simba :
weeeeee
2026-02-27 08:54:40
1
hami_voice_the_legend
Makoa Hamisi Makoa :
ila bui bui alikuwaga wa moto sana
2026-02-17 14:51:25
1
user7185011109273
Dachigospel :
Tangu hapo buibui hakusikik Tena clouds nyimbo zake na kumbuka zamn Kam ujapigw clouds bac hujatoa bado😳😀
2026-02-17 09:25:13
2
chicnails_3
chic nails :
saivi. utamkuta makumbusho ananyoa
2026-02-23 09:29:02
2
jumamustapha720
Juma Mustapha720 :
alikua hatari sana
2026-02-17 10:26:21
2
swabrasabry
S W A B R A H_S A B R Y :
hm boy tmk🥰🥰🥰🥰
2026-02-17 04:45:22
2
davyadamson
Pastor Davy :
10/10 nalipa
2026-03-09 17:21:42
1
mudmiyeyusho139
mudmiyeyusho139 :
unyayo wa samaki auchoteki hata kwa maji bui wa baya
2026-03-08 05:36:45
1
To see more videos from user @chusseibillitalent, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About