@dr_herry: PART 1246| UKIJUA MZUNGUKO WAKO UTAJUA NA SIKU NZURI KUSHIKA MIMBA #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibartiktok #daressalaam #mwanza

DR HERRY NA UZAZ|+255742449224
DR HERRY NA UZAZ|+255742449224
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 February 2026 09:43:01 GMT
44980
505
35
152

Music

Download

Comments

user9969847618561
user9969847618561 :
mim na uvimb
2026-02-16 22:28:28
1
giftiee11
zory☺de choosen gal💞 :
siku tatu naenda nataka kujua
2026-02-20 14:39:27
2
user673184397926
user673184397926 :
NATAKA KUPATA MAPACHA DOCTOR 🙏🙏🙏
2026-05-02 09:19:04
0
user8667344661169
merry :
siku nne
2026-02-17 18:16:03
0
salma.haruna40
Salma Haruna :
dk mimi mzunguko siku 35
2026-03-26 09:51:49
0
kulwa705
kulwasalehe218 :
9
2026-03-11 09:11:51
0
kadzounda335
kadzo unda :
mm napata kila mwezi tarehe kumi na tano mpaka tarehe ishirin ila sijui siku zangu za hatari ni lini
2026-03-27 12:41:02
0
rachel.tiktk45
Rachel da joy💕💕 :
naomba unisaidie mimi mzunguko wangu hauwelekki et yan nateseka
2026-03-30 18:30:20
0
enc897
20023 :
vipi kuhusu mzunguko wa siku 35 ni siku7 za hedhi vipi zikifika mpaka 10?
2026-02-19 15:37:39
0
user4762629337308
user4762629337308 :
mzunguko wangu ni cku 26 mtt wa kiume anapatikana ln kwa mzunguko huo
2026-02-22 14:52:00
0
neemayohana4160
Neema Yohana :
doktar mnapatikana wap
2026-02-18 23:12:54
0
joyceeluzelela
joydal :
jaman m mnanchanganya mbna mm namzumguko mrefu wa siku 36 lakn nlipata mimba siku ya 15
2026-02-19 08:04:15
1
elias_sophia
Mrs Mwita_Brian :
mm maumivu chini ya kitovu jmn
2026-05-07 10:32:36
0
ingei29
ingei29 :
me naanzaga Kila trh moja inaisha trh 3 Ile ya nne inakuwa vidg je hapo siku za htr ni zipi na je ni mzunguko wa siku ngap
2026-04-05 15:50:15
0
kadzounda335
kadzo unda :
ata sielewi muzunguko wangu
2026-03-27 12:42:13
0
nyangulochuga3
nyangulo chuga :
@nyangulo chuga:samahani naomba uniambie Sasa kama unasema kwa mfano mzunguko ni 28 - 14 unapata 14 sasa je menajiuliza mwezi wa mbele utajua siku hatari na bado hujaingia kwenye period au bado hujui mzunguko ni siku ngapi kwasababu siku Zina badilika tu naomba unisaidie doctor
2026-04-10 20:27:04
0
rehemambugulo
Rehema mbugulo :
mm nimeanza juzi kuona siku zangu nilianza asubui kuziona usiku alivyoludi mume wangu tukafanya Jana nimeshinda zinatoka kidogo kidogo mpaka jion zimekata kabisa nimelala mkavu na mpaka Sasa azijatoka na uwa naumwa siku 5 sijajua nn shida
2026-03-15 09:44:22
0
user67147904531302
user67147904531302 :
samahan me nimeingia tarehe 9 _3 nimemaliza tarehe 14 naomba kujua mzunguko wangu ni wa siku ngapi na siku za hatari ni zipi
2026-03-16 08:37:14
0
user7701508197981
Rightness Audax :
Mi mzunguko wangu n siku 3 je siku hatar kwangu n zip? Naingia tar 29 kila mwez
2026-04-18 13:15:12
0
user6826314127247
user6826314127247 :
doctor mm niliingia siku 3 nataka nijue siku zangu za hatar ni zipi niliingia 8 nikatoka 10 wa pili
2026-02-18 10:55:52
0
user4591942781027
nalepo :
dk mzunguko wangu nisiku22
2026-05-09 19:43:08
0
To see more videos from user @dr_herry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About