Nchi iliyo pambaniwa na Mwalim Julius Nyerere ndo hii dah R. I. P FATHER 😭😭😭
2026-07-31 21:54:45
0
Said Shaaban :
Ni zamb kubwa kumwmbia binadam mwenzio mbya inamana mna mkosoa mungu kua ame kosea kumu umba hyo broo na ikiwa hakuna ata mmoja anaweza kuumba kumbe chchte
2026-08-15 07:19:29
0
Little angels wear :
Hata mm nisinge kubali amwoe mwanangu hahaha 😂 Mungu unisamehe
2026-05-29 08:20:52
1
Mama baby🇹🇿 vs 🇴🇲 :
maskin wamemuonea tu chukua kila kitu chako baba
2026-09-04 19:37:32
0
farbeid.💕forever7 :
😁majangaa
2026-06-16 06:51:55
0
Slayunique💫💋🫀 :
me mwenyewe ningekataa😂😂😂 khaa kama mchawi
2026-06-05 17:00:55
3
الشرفُ بالأدبِ لا بالنسبِ🇹🇿 :
mm sijui nimtetee nani Mungu awasimamie yeye😹😁
2026-06-18 11:15:20
1
yah :
mbona yupo fresh tu mwana
2026-05-24 05:59:29
1
SAM🇹🇿🇿🇦 :
ii kasheshe 😁😁😁
2026-03-13 17:52:22
0
To see more videos from user @hhaji3223gmail.com, please go to the Tikwm
homepage.