@jacobhoja: Ofisi za pori, hakuna ubishoo. Msikariri maisha hayatafutwi mjini tu. 🩸Aidha mawe husagwa kuwa unga ili Kuachilia dhahabu iliyofungiwa kwenye mwamba Dhahabu mara nyingi haipo kama vipande vikubwa vinavyoonekana, bali imejificha ndani ya miamba mingine (quartz, sulfides n.k.). 👉 Kusaga kunavunja mwamba hadi kuwa unga mdogo, hivyo chembe za dhahabu zinaachana na miamba mingine. #Shituka #pori #karasha #ballmill #goldprosessing