@miriamcare255782019773: ⃣ PID sugu (Chronic Pelvic Inflammatory Disease) Pelvic Inflammatory Disease ni maambukizi ya viungo vya uzazi wa ndani (kizazi, mirija ya uzazi na ovari). PID sugu hutokea pale maambukizi hayakutibiwa vizuri au yalirudiarudia na kusababisha uchochezi wa muda mrefu. 2️⃣ Hormone Imbalance (Kutokuwiana kwa Homoni) Hii ni hali ambapo homoni za uzazi hasa estrogen na progesterone haziko kwenye uwiano sahihi. Inaweza kuhusiana na: Polycystic Ovary Syndrome Matumizi au kuacha ghafla njia za homoni za uzazi wa mpango Msongo wa mawazo, unene kupita kiasi, au matatizo ya tezi Kinachotokea kitaalamu Ovulation kutotokea (anovulation) 3️⃣ Endometriosis Endometriosis ni hali ambapo tishu zinazofanana na ukuta wa ndani wa kizazi (endometrium) huota nje ya kizazi — mfano kwenye ovari au mirija ya uzazi. Kinachotokea kitaalamu Tishu hizi huathiriwa na homoni kila mwezi Hutokwa damu ndani ya nyonga Husababisha uchochezi na makovu (adhesions) Mzunguko wa hedhi kuvurugika 4️⃣ Kitanzi (IUCD) Intrauterine device ni kifaa kinachowekwa ndani ya kizazi kuzuia mimba. Kuna aina mbili: Cha shaba (Copper IUCD) Cha homoni Jinsi kinavyofanya kazi Huzuia mbegu kurutubisha yai Huathiri ukuta wa kizazi ili mimba isishikane Madhara yanayoweza kutokea Maumivu ya tumbo hasa miezi ya mwanzo Hedhi nzito (hasa cha shaba) Maambukizi kama hakikuwekwa kwa usafi Uvimbe mdogo wa kizazi #uzazi #everyone #reproduction #fibroids

miriamcare 🩺|+255782019773
miriamcare 🩺|+255782019773
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 February 2026 18:42:43 GMT
1018
29
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @miriamcare255782019773, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About