@ms_pee_restaurant01: 🌙✨ RAMADHAN IFTAR✨ Tunapenda kuwataharifu kuwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na kwaresma Ms_pee Restaurant wamekuandalia wew hapo mteja wetu IFtari katika mwezi huu mtukufu 🍽️ Menu ya Iftar: • Chapati za kumimina • Sambusa, Bagia & Tambi • Kacholi • Ulojo (magimbi, mihogo, viazi vitamu) • Wali • Rost nyama & ndizi • Kuku • Samaki 🥣 Vinywaji: Uji • Maziwa • Chai ya rangi • Juice 🌴 Tende 👥 Package maalum kuanzia watu 2 na kuendelea 💎 Bei kuanzia 30,000/= kwa watu wawili kARIBUN SANA🙏 📍 @ms_pee_restaurant1 📞 Tunashauri booking mapema 0623385567