imam abuu hanifa, immam Malik, immam Ahmad ibn hambal hoja yao wamesema mwezi n mmoja ukionekana mahali popote duniani watu wafunge lkn imam shafici ndo amekhtilafiana nao akasema Kila nchi Iko na mwezi wao na wafuate kulingana na nchi yao
2026-02-18 20:34:36
24
رجل ونصفين ونصف ونصف نصف :
Hyo kila nchi ina muono wake iko ktabu gani Hyo Hadith
2026-02-18 16:14:18
9
Rashid Habibu :
kwanza nampongexa sana hiyu jamaa anajua dini
2026-02-19 19:58:47
9
SharrifPessa :
ww humeid mbona haelewek
2026-02-18 16:52:02
5
young_uweis+255 :
mbona mahawabi hamna msimamo. siku hizi mwezi ni namna hio alhamdulilla
2026-05-12 18:57:32
0
EL MASOUDGE KANZU OUTFIT :
huyu anajua saaaan
2026-03-24 14:26:00
0
Dude :
kweli masalafi nivibaraka waselikali napia nibakwata ndogo
2026-02-20 08:18:26
0
🦘.Kangaroo :
leo nmekuelewa sasa
2026-03-24 08:42:38
1
mehbub suleyman :
BarakAllah Fiqum
2026-02-21 09:19:29
2
Ms. Zwayah :
Shukran
2026-03-20 16:49:30
0
Abuu Zur'aah Online Tv :
Jazakallah khayran
2026-03-19 11:44:26
0
sheikh Ibrahim Said :
Baraka Allah feekum
2026-02-21 09:01:03
0
Sanitizer :
Masjallah Kauli nzito na ya mazingatio. Allah akupe ilmu zaidi. Tuheshimu Kadhi wetu nchini
2026-03-22 08:03:13
1
Programmer ECU :
kweli
2026-02-18 09:52:38
2
yassinhaji101 :
jee ni suna mtume Mohamad saw alioiacha watu kushambuliana tena wajisifu hadharani
2026-02-19 11:02:52
1
samghun24 :
Sahihi
2026-03-20 21:00:30
0
Jaafar Manhekman :
Sasa kati ya mji na nchi , 😂😂😂daah ila jamaa zenu
2026-02-20 14:34:34
1
SharrifPessa :
sasa dunia ina inchi ngap kila nchi na muono wake
2026-02-18 16:52:51
0
ATIF KHAMIS :
leo umeongea point san
2026-02-18 19:23:53
0
MOLECULES :
Ghurafi n nn
2026-02-18 19:14:26
0
yassinhaji101 :
hiyo sisifa sifa nikufundisha maneno ya Allah sio kushambuliana kwani unapata nini
2026-02-19 11:04:35
0
Abdillah Ali :
huo ni ubanguzi ndio maana makafiri wanatuuwa sana
2026-02-19 07:09:31
0
user27635813457496 :
😅m
2026-07-01 18:30:33
0
MOUDDY. :
kwa maneno kama haya hilafaa haitapatikana milele hichi ndio kipindi ambacho mtu anatakiwa kutumia akili yake kama neema aliyopewa na Allah
2026-03-17 19:38:09
2
Sheikh Mohamed Omar :
Wacha uhuni ww Kijana
2026-03-25 06:18:16
1
To see more videos from user @mundhiru.muhajiri, please go to the Tikwm
homepage.