wengine badala waombe msamaha wanakugeuzia kosa liwe lako
2026-02-19 08:32:19
55
ronald jayrus :
ilo tatizo ninalo sana niombeeni siwezagi kusema nisamehe sijui kwann
2026-02-20 07:17:46
1
khairun :
kweli but only gentlemen's understand this
2026-02-20 18:45:25
2
💸💸💸 :
mwanamke akijua unampenda 🤣🤣🤣 hhuwezi kua nae ataenda kwa mwingine asiempenda
2026-02-20 06:26:14
4
Sabrina salum :
m nawakumbusha tu ogepeni anae omb msamah na anarudia kile kile na anakuj analia kbsa🤣🤣🤣🤣mhhhhhhhhh
2026-02-21 07:55:14
1
Mzee kuna🔥🔥 :
kabisa kaka
2026-03-21 15:34:12
0
Mwanah :
ee mungu nipe ambae akikosea anaomba msamaha😊
2026-02-24 19:30:59
0
Royal Bedding :
akuombe msamaha ili agundue nini ,
2026-02-21 12:31:03
0
Rizzy wa north 🦋 :
kuna wenye wanaona wakisema nisamehe wamekuwa warembo😂😂😂
2026-02-19 08:26:25
6
user504960077584 :
hakika
2026-02-19 00:18:29
2
bulgate kandiki :
alaham dulilah family 🙏
2026-02-24 14:55:15
0
Marko jooh :
Sahih mkuu
2026-02-19 20:19:27
1
nanammy :
wakisha omba nakuwasamehee wanarudia tena na tenaa
2026-02-20 22:00:01
1
Esmah💞 :
absolutely 💯
nyie ndiyo aina ya wanaume mnaotakuwa,
siyo kujifanya mbabe, kugomba hovyo,kununanuna km mkeo ni mke mwenza nk,
hakika haikuondolei uanaume wako bali inajenga amani na upendo
2026-02-21 21:19:09
0
Takyular Gosbart :
never ever
2026-02-21 02:38:43
0
Sunshine :
kuna mtu aliwah sema kuomba msamaha ni ufala...
2026-02-19 14:35:13
3
Pamelah Duka💖 :
Sema wengi wan eagle mbaya mtu anahisi akikuomba msamaha basi ndo umemuweza kumbe wala
2026-02-19 05:20:26
1
sweet treats :
my man ♥️😫
2026-02-19 14:29:54
3
Miss S💃🏼 :
Mm wangu anaomba msamaha ila uwiii kesho anarudia alfu anaomba tena msamaha.
2026-02-21 19:55:10
0
user384990 :
Jamani sisi wengine hatukuubatika wanaum waivi tutulie tu
2026-02-21 08:18:44
0
Mique Imahn :
sasa mtu anankukosea Kila siku kisingizio anaomba msamaha na unamsamehe
2026-04-12 05:17:10
0
liu💕 :
wangu hata haombi msamah akikosea
2026-04-09 19:34:40
0
Amina Issa :
😅😅😅
2026-02-19 19:38:05
1
kinglamar77🇲🇫 :
💪💪💪
2026-02-19 15:05:03
1
it phine🥰🥰 :
🥰🥰
2026-02-19 12:50:14
1
To see more videos from user @fahamu_.tips, please go to the Tikwm
homepage.