@elegantandstaraco: VITEZO VYA UMEME NA MKAA Hii ndio bidhaa uliyokuwa ukiisubilia kwa hamu kipindi hiki cha ramadhani ,na huu ndio muonekano wa harufu ya kifalme tayari vipo dukani vitezo pamoja na oud. ✨ Oud yetu ya asili inakupa harufu ya utajiri inayokaa mwilini siku nzima. Jizawadie nakshi ya kipekee leo🛍 ✨ Agiza sasa bidhaa yako pendwa kutoka Elegant and stara collection 🚚 Tunatuma popote Tanzania kwa uaminifu mkubwa 📍 Duka lipo Barabara ya 11 karibu na DECA Polyclinic – Dodoma 📲 Piga / WhatsApp: 0782 167 878